Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Moja vitu ambavyo sijawahi kufikiria ni kumpiga mwanamke.

Ila dada zangu mnajimwambafy humu kule kwenye jukwaa la mahusiano kwamba mnapenda wahuni machurch boy hawaja changamka,sasa mwenzenu kampata muhuni wa Kinondoni.
 
Wanawake wanaokimbilia visingizio vya mwanangu hivi mwanangu vile ni wapuuuzi sana. Huyu alipigwa vibaya mara ya kwanza akakimbilia mtandaoni kulia na neno mwanangu nyiiingii utadhani yeye wa kwanza kuzaa duniani. Hata aibuke mtetezi bingwa huyu hawezi achana na jamaa anayempiga kila kukicha kisingizio wamezaa
 
Huyo jamaa aliyempiga akamatwe. Yeye anajua kaoa malaya kwanini ashindwe kumvumilia?... Pale Nairobi katikati ya mji kuna jumba refu la ghorofa lina gesti chafu balaa.. kunguni wa kumwaga. Nilikuwa sijui nikaona kwa bei hii rahisi leo nimebahatika kwasababu ilikuwa usiku sana nimefika.

Kitendo cha kuzima tu taa wale kunguni walianza majukumu yao ya kila siku. Nikamwita mhudumu na kumuuliza ndo inakuwaje? Yule mhudumu kwa sauti tulivu ya upole akanijibu "ndugu yangu hii gesti yetu ndo inasifika kwa uchafu Nairobi nzima, hata ukitupeleka Nairobi Council watakushangaa sana wewe... hata mimi nimesikitika kwasababu kiukweli hufananii kulala hapa, nakushauri utafute gesti nyingine safi hapa jirani"...

Namshauri jamaa atafute mwanamke mwingine.
Hahahaa walikirudishia pesa walau nusu?
 
Huyu dem ni mbaya, sijui hata amekuwaje maarufu
Huijui historia yake? Huyu na gigi money walikuwa wanashoboka na wasanii maarufu wa bongo fleva wakawa wanacheza show zao uchiuchi, huku wasanii wakijipigia tuu kwa kupokezana. Walikuwa ni wadangaji wakibwa wa kusasambua maclub ya usiku. Badae wakapataga zali la kuandikiwa nyimbo na jay melod kipindi hiko hana jina ndio wakatoa vinyimbo vyao vya matusi matusi wakapata platform kuubwa ya kudanga.
 
Huyo jamaa aliyempiga akamatwe. Yeye anajua kaoa malaya kwanini ashindwe kumvumilia?... Pale Nairobi katikati ya mji kuna jumba refu la ghorofa lina gesti chafu balaa.. kunguni wa kumwaga. Nilikuwa sijui nikaona kwa bei hii rahisi leo nimebahatika kwasababu ilikuwa usiku sana nimefika.

Kitendo cha kuzima tu taa wale kunguni walianza majukumu yao ya kila siku. Nikamwita mhudumu na kumuuliza ndo inakuwaje? Yule mhudumu kwa sauti tulivu ya upole akanijibu "ndugu yangu hii gesti yetu ndo inasifika kwa uchafu Nairobi nzima, hata ukitupeleka Nairobi Council watakushangaa sana wewe... hata mimi nimesikitika kwasababu kiukweli hufananii kulala hapa, nakushauri utafute gesti nyingine safi hapa jirani"...

Namshauri jamaa atafute mwanamke mwingine.
Ushauri muraaaaa!!!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Naye aache kulea king'asti kutokaa kino, si awe buzzy na mwanae tyuuh.
Acha apigweee had akili imkae sawaa, alikua hajui kulea jitu zima kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Emba bhanaaa khaaa.
hiyo picha ya profile ni yako
 
Wanawake wanaokimbilia visingizio vya mwanangu hivi mwanangu vile ni wapuuuzi sana. Huyu alipigwa vibaya mara ya kwanza akakimbilia mtandaoni kulia na neno mwanangu nyiiingii utadhani yeye wa kwanza kuzaa duniani. Hata aibuke mtetezi bingwa huyu hawezi achana na jamaa anayempiga kila kukicha kisingizio wamezaa
Genye tu zilimshika akaenda kukiachia kwingine, ni anaonyesha picha halisi ya mwanamke alivyo
 
Back
Top Bottom