Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Ila wavuta bangi wanapendwa sana.
Kuna ndugu yangu mmoja na yeye kakamatika na livuta bangi limoja toto la huko huko kinondoni.
Anamlisha mwanaume na mtoto wa mwanaume na wanawake wa mwanaume.
Akipika dagaa mwanaume hali anataka maini 🤣🤣🤣🤣 nyie kama vile anajua bei ya maini.
Inaelekea hawa wavuta bange wana kitu "unique"
All in all kupigwa hakukubaliki amba kamata hiyo panya weka ndani nenda mahakamani hiyo ni attempted murder.
Wavuta bangi hatupigagi wanawake,huyo atakuwa mvuta uchafu.
 
Alichezea kichapo Rili bilionea sembuse Amba. Abusers don't give a damn who you are!

Na akizubaa huyu atakuja kuuliwa sijui mtoto atamwacha na nani. Labda video hii ikifika kwa wanaharakati na Dorothy Gwajima ndo itamwokoa. Sad!

m 0309-062640.jpg
 
Huyo jamaa aliyempiga akamatwe. Yeye anajua kaoa malaya kwanini ashindwe kumvumilia?... Pale Nairobi katikati ya mji kuna jumba refu la ghorofa lina gesti chafu balaa.. kunguni wa kumwaga. Nilikuwa sijui nikaona kwa bei hii rahisi leo nimebahatika kwasababu ilikuwa usiku sana nimefika.

Kitendo cha kuzima tu taa wale kunguni walianza majukumu yao ya kila siku. Nikamwita mhudumu na kumuuliza ndo inakuwaje? Yule mhudumu kwa sauti tulivu ya upole akanijibu "ndugu yangu hii gesti yetu ndo inasifika kwa uchafu Nairobi nzima, hata ukitupeleka Nairobi Council watakushangaa sana wewe... hata mimi nimesikitika kwasababu kiukweli hufananii kulala hapa, nakushauri utafute gesti nyingine safi hapa jirani"...

Namshauri jamaa atafute mwanamke mwingine.
Eti shughuli zao za kila siku.kwamba hata council watakushangaa
 
Huyu mmama(m'acheter muita msichana ) nlikuwa naMtaman sana .nkaongea n'a nyama mmoja akanambia atanistua siki akaja ile baa opossite n'a boardroom muhuni nlikuwa kitambaa nkaibuka pale fasta mchiz wangu nkakuta ashamsogeza counter kamnunulia bia .tatizo lake anatembea n'a vivulana nahisi vishoga maana ili umpate vifurahishe .jamaa kufikq akatambulisha huyu ndo bro angu The only nlikwambia nkasimama opposite nae 0 distance .
OBSERVATIONS
-Asee ni mfupi mno japo anashape n'a tako ila linaule muonekano wa kichina kabisa
-Anapaka sijui mafuta gan ananukia kama wale mashangingi wa magomeni wale wamejichubuaaaa wanakuwaga n'a harufu yao moja inakera .
-Mchafu ,alikuwa na high héel kazitoa kampa mpambe kazishika mkononi yy kavaa mandala ya very cheap.afu miguu inavumbi aaaghh
-Alikuwa ni wazi anaulaibu wa pombe au unga maana sauti yake imelegea n'a anaongea kwa mgando .
Kuna jamaa anamjua akanambia kaka muache kuwahukumu kwa tv wasanii wakawaida sana .akaniambia ni binti katokea familia yenye kushika dini balaa wanasema alikuwa muimba kwaya n'a alikuwa mzuri balaa
Nkamalizia bia yangu nkazuga naongea n'a simu .nje nkalip kwa lipa namba yao bill nkamtumia sms mshikaj ya kulipa n'a nkamwambia mesepa
 
Huijui historia yake? Huyu na gigi money walikuwa wanashoboka na wasanii maarufu wa bongo fleva wakawa wanacheza show zao uchiuchi, huku wasanii wakijipigia tuu kwa kupokezana. Walikuwa ni wadangaji wakibwa wa kusasambua maclub ya usiku. Badae wakapataga zali la kuandikiwa nyimbo na jay melod kipindi hiko hana jina ndio wakatoa vinyimbo vyao vya matusi matusi wakapata platform kuubwa ya kudanga.
Gigy aliandikiwa na Marioo 'Nampa Papa'
 
Back
Top Bottom