cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ni yanguu yess.hiyo picha ya profile ni yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yanguu yess.hiyo picha ya profile ni yako
Hawakurudisha.Hahahaa walikirudishia pesa walau nusu?
Kwani yule mtoto wake alizaa na nani,?
Kwani Adv Msando kamuacha? Au sio huyu?
Kwani Adv Msando kamuacha? Au sio huyu?
🤣🤣🤣Msando ana Magundu Sana ,Sijui kwasababu ya Majanaba ya Kina Giggy ,alivyoenda Moro tu kila siku ITV wanamuoji akiwa na Majanga.
Anapenda kiki subir wamuueeKila mara anadundwa na haendi police hachukui hatua
Muhuni kama Emba hapana yule kwanza inaonekana kichwani hazimo wakizinguana kipigo lazima. Kuna wahuni hawana hizo pigo kabisa, Lulu kuna mahali anachemka si bure.Moja vitu ambavyo sijawahi kufikiria ni kumpiga mwanamke.
Ila dada zangu mnajimwambafy humu kule kwenye jukwaa la mahusiano kwamba mnapenda wahuni machurch boy hawaja changamka,sasa mwenzenu kampata muhuni wa Kinondoni.
[emoji23][emoji23][emoji23]ana sura nzito kama uji wa mtama
Dah! Kunguni ni miongoni ectoparasite mafia sana gizani, halafu sasa ukiwasha taa tu within a second wamepotea😄Huyo jamaa aliyempiga akamatwe. Yeye anajua kaoa malaya kwanini ashindwe kumvumilia?... Pale Nairobi katikati ya mji kuna jumba refu la ghorofa lina gesti chafu balaa.. kunguni wa kumwaga. Nilikuwa sijui nikaona kwa bei hii rahisi leo nimebahatika kwasababu ilikuwa usiku sana nimefika.
Kitendo cha kuzima tu taa wale kunguni walianza majukumu yao ya kila siku. Nikamwita mhudumu na kumuuliza ndo inakuwaje? Yule mhudumu kwa sauti tulivu ya upole akanijibu "ndugu yangu hii gesti yetu ndo inasifika kwa uchafu Nairobi nzima, hata ukitupeleka Nairobi Council watakushangaa sana wewe... hata mimi nimesikitika kwasababu kiukweli hufananii kulala hapa, nakushauri utafute gesti nyingine safi hapa jirani"...
Namshauri jamaa atafute mwanamke mwingine.