Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Amini Nakwambia, hakuna mwanaume anajipigia hovyo tuu mwanamke.
Ukichunguza utakuta kuna maonyo meengi sana hapo nyuma meengi tuu ila mwanamke anarudia kosa lilee lilee.
Haswa kama Alisha fanya akasamehewa. Akili zao wanazijua wenyewe hawa viumbe
 
Ila wavuta bangi wanapendwa sana.
Kuna ndugu yangu mmoja na yeye kakamatika na livuta bangi limoja toto la huko huko kinondoni.
Anamlisha mwanaume na mtoto wa mwanaume na wanawake wa mwanaume.
Akipika dagaa mwanaume hali anataka maini 🤣🤣🤣🤣 nyie kama vile anajua bei ya maini.
Inaelekea hawa wavuta bange wana kitu "unique"
All in all kupigwa hakukubaliki amba kamata hiyo panya weka ndani nenda mahakamani hiyo ni attempted murder.
 
Moja vitu ambavyo sijawahi kufikiria ni kumpiga mwanamke.

Ila dada zangu mnajimwambafy humu kule kwenye jukwaa la mahusiano kwamba mnapenda wahuni machurch boy hawaja changamka,sasa mwenzenu kampata muhuni wa Kinondoni.
Muhuni kama Emba hapana yule kwanza inaonekana kichwani hazimo wakizinguana kipigo lazima. Kuna wahuni hawana hizo pigo kabisa, Lulu kuna mahali anachemka si bure.
 
Dah! Kunguni ni miongoni ectoparasite mafia sana gizani, halafu sasa ukiwasha taa tu within a second wamepotea😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…