Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

Wavuta bangi hatupigagi wanawake,huyo atakuwa mvuta uchafu.
 
Alichezea kichapo Rili bilionea sembuse Amba. Abusers don't give a damn who you are!

Na akizubaa huyu atakuja kuuliwa sijui mtoto atamwacha na nani. Labda video hii ikifika kwa wanaharakati na Dorothy Gwajima ndo itamwokoa. Sad!

 
Eti shughuli zao za kila siku.kwamba hata council watakushangaa
 
Huyu mmama(m'acheter muita msichana ) nlikuwa naMtaman sana .nkaongea n'a nyama mmoja akanambia atanistua siki akaja ile baa opossite n'a boardroom muhuni nlikuwa kitambaa nkaibuka pale fasta mchiz wangu nkakuta ashamsogeza counter kamnunulia bia .tatizo lake anatembea n'a vivulana nahisi vishoga maana ili umpate vifurahishe .jamaa kufikq akatambulisha huyu ndo bro angu The only nlikwambia nkasimama opposite nae 0 distance .
OBSERVATIONS
-Asee ni mfupi mno japo anashape n'a tako ila linaule muonekano wa kichina kabisa
-Anapaka sijui mafuta gan ananukia kama wale mashangingi wa magomeni wale wamejichubuaaaa wanakuwaga n'a harufu yao moja inakera .
-Mchafu ,alikuwa na high héel kazitoa kampa mpambe kazishika mkononi yy kavaa mandala ya very cheap.afu miguu inavumbi aaaghh
-Alikuwa ni wazi anaulaibu wa pombe au unga maana sauti yake imelegea n'a anaongea kwa mgando .
Kuna jamaa anamjua akanambia kaka muache kuwahukumu kwa tv wasanii wakawaida sana .akaniambia ni binti katokea familia yenye kushika dini balaa wanasema alikuwa muimba kwaya n'a alikuwa mzuri balaa
Nkamalizia bia yangu nkazuga naongea n'a simu .nje nkalip kwa lipa namba yao bill nkamtumia sms mshikaj ya kulipa n'a nkamwambia mesepa
 
Gigy aliandikiwa na Marioo 'Nampa Papa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…