Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Iwe walisambaza au hawakusambaza, hizo video ndio zimekuwa sehemu ya ushahidi kwa mahakama kuwatia hatiani...

Hao wanaofanyia majumbani au faragha nyingine yoyote nao ni wakosa ambao hawajatiwa hatiani...
At least unahoja kidogo wengine hapa naona wanapovuka tu.
 
Mjaaalaana mkubwa weye..... Kwahiyo wewe hata mtu akiwa anauwa watu kimya kimya au kubaka as long as its not known i public inakuwa sawa....?!

Acha kutuletea mitazamo na tamaduni za kipumbavu za kimagharibi.

Tendo lolote ambalo mwisho wake ni maangamizi hakifai kukaliwa kimya hata iwaje....
Naona umepaniki brother. Nisome vizuri utanielewa.
 
delicious ana kosa gani? shoga anaenda jela[emoji3][emoji3][emoji3] anaweza akaishi maisha mazuri kuliko hata uraiani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
delicious ni mboga so ataishi vizuri na godoro atapewa na nyapala na alivyo lojo lojo leo leo watamchakata
 
So ni sawa mtu kufanya kinyume na maumbile?! Hivi unafahamu madhara yake, kwake na kwa watu wanaomzunguka?!
Vitu vingapi vina madhara na watu hawahukumiwi kwenda jela? Sigara, pombe vyote vina madhara lkn kutwa kuhangaika na kinyeo cha mtu.
Elimisheni madhara kiafya naamini wengi wataelewa sio mnafunga jela ili iweje sasa? Huko jela hawafafanya? Acheni unafiki.
 
Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
Mungu mwenyewe hili suala limemshinda. Aliteketeza sodoma na gomora ili kutokomeza kabisa hii tabia, iweje imerudi? [emoji848]
 
Hivi kumbe sheria za nchi haziruhusu kufanya mapenzi kinyume na maumbile?
 
Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.

Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.

Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.

Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.

Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Mwaka 2014 kama sijakosea kuna utafiti ulifanyika na kati ya waliohojiwa na gazeti la mwananchi 39% wanawake walikiri kufanya huo mchezo.wanaume 47% walikiri kujaribu kufanya hayo mambo natafuta ile Makala ya mwananchi niiweke hapa maana watanzania ni wanafiki sana.
 
Mjaaalaana mkubwa weye..... Kwahiyo wewe hata mtu akiwa anauwa watu kimya kimya au kubaka as long as its not known i public inakuwa sawa....?!

Acha kutuletea mitazamo na tamaduni za kipumbavu za kimagharibi.

Tendo lolote ambalo mwisho wake ni maangamizi hakifai kukaliwa kimya hata iwaje....
Wewe kuua na kubaka haifanani na kuliwa tigo
 
Wanampeleka James Delicious jela dogo atachekelea kwanza hana muda wa kutafuta hela ya faini
 
Back
Top Bottom