Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
At least unahoja kidogo wengine hapa naona wanapovuka tu.Iwe walisambaza au hawakusambaza, hizo video ndio zimekuwa sehemu ya ushahidi kwa mahakama kuwatia hatiani...
Hao wanaofanyia majumbani au faragha nyingine yoyote nao ni wakosa ambao hawajatiwa hatiani...