TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso...
Mwendazake mkataa chanjo alikula kikombe
 
Huu mwaka mpaka unaisha tutaona mengi.

Pumzika kwa amani Legend
 
Mwendo ameumaliza imani ameilinda apumzike kwa amani
 
Delta inafagia sana. Mungu ampumnzishe kwa amani.
 
Duh! Juzi nilisoma nadhani humu au kule Twitter kwamba anazuka na kikombe cha kuponya uviko. Haya mapokezi ya ndege leo wiki mbili zijazo yanaweza kusababisha mlipuko mkubwa wa COVID-19.
Ni uviko.
 
Jamaa fikra zake za kichawi ndo kawaachia misukule yake akina Kinuju Crimea jingalao et al… jamaa alikufa kizembe kwa fikra za kishenzi japo alikua msomi
Mkuu nadhani alikulia kwenye mazingira ya kuamini uchawi sana. Pamoja na kwenda shule hakubadilika. Hakuamini kwenye sayansi kabisa. Ila elimu yake inaonekana aliipata kimagumashi. Hata kutoweza kukimudu kiingereza ilikuwa ni matokeo ya kukosa elimu bora. Siyo lugha tu hata mazungumzo yake yalikuwa siyo ya mtu msomi kabisa.
 
Babu yetu apumzike salama amen!

Mwendo ameumaliza......sijajua kama hakuoteshwa na kutuachia dawa ya UVIKO......

CANDLE IN THE WIND
 
Babu alikusanya hela ya Uzalendo wa afya yako. Sehemu atakayozikwa Iwe mlimani kama kivutio cha utalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…