TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

Babu alinifanya nigombane na watu kwa ubishi mpaka kesho...
 
Ha ha ha asee

Watu mnajua kunanga kwerii kweriii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Covid ipo na inaua, tuache mchezo na dhereu.
 
Huyu Mzee alitusaidia sana 'Waswahili' 2011

Pole sana Comrade Jack Zoka kwa kuondokewa na ubunifu wako!
 
Huyu mzee alitengezwa na ccm Ili kupooza joto la kashfa ya richmond
 
Ninadhani atakuwa amerithisha fomyula ya kuchanganya dawa hiyo ili tuendelee kupiga kikombe. Shida ya mambo ya upako si ajabu alijua yeye tu aliyeoteshwa. dah! R.I.P Mzee Ambilikile
Hakuna cha dawa pale ni utapeli tu
 
Niliponea muwasho mwilini kwa Babu! Tulikaa siku mbili foleni ya tatu km saa tano na nusu asubuhi tukapiga Kikombe. Ile adventure ilikuwa Safi Sana, sikuwahi fika pande hizo lkn Babu alinifikisha samunge, watu walishangaa walipomwona morani chotara, toilet ilikuwa issue, jioni Kuna baridi balaa, wasonjo wakileta kizungumkuti sometimes. Tulipofika ilikuwa jpili saa mbili asubuhi, foleni ni kama upo ubungo, halafu kwa Babu pawe pale faya aisee it was a lifetime experience. RIP Babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…