Ambwene Yesaya (A.Y): Niwe mkweli suala la kutengeneza Mdundo wa Taifa, haliwezekani

Ambwene Yesaya (A.Y): Niwe mkweli suala la kutengeneza Mdundo wa Taifa, haliwezekani

Kwa style ya kuiga iga vinavyo trend hatuwezi kuwa na kitu chetu. Maana kipindi Kwaito imepamba moto tukaanza kuiga, Afro pop ya Nigeria ilipokuwa mainstream tukaanza kuiga, Sasahivi Amapiano ndio inatrend tumerukia huko. Kiufupi sisi tunafanya imitation tu. Tumeacha theme ya asili ya bongo fleva.
 
Mahangaiko yasiyo na msingi ni mengi sana hili Taifa.
Wanafikiri Jamaica ilikaa chini ikaunda Reggae, au America walikaa chini wakaunda Country...😁
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwa sababu wasanii wa Tanzania siyo wabunifu bali ni wa kukopi and paste tu. Mbona tunaposikia muziki wa Nigeria tunasema huo ni wa Nigeria na wa DRC pia tunaujua, South Africa, Mali na kadhalika. Kwa nini muziki wa kutokea Tanzania nao usjitambulishe wenyewe?
 
Kuna babu anarudia nyimbo wa kongwe, iyo ndo midundo ya taifa, babu anajua aisee , amepiga usia wa wazizi wangu ni balaa
Kisauji Babloom!
Ni noma huyo mzee.
Niliiona cover ya NDOA YA MATESO ni balaa, JABALI LA MUZIKI huko aliko anajisemea kumbe kuna watu nux zaidi yangu.
 
Kwa sababu wasanii wa Tanzania siyo wabunifu bali ni wa kukopi and paste tu. Mbona tunaposikia muziki wa Nigeria tunasema huo ni wa Nigeria na wa DRC pia tunaujua, South Africa, Mali na kadhalika. Kwa nini muziki wa kutokea Tanzania nao usjitambulishe wenyewe?
Tushachelewa, embu angalia hata muziki wa dansi kumbe uliletwa na wakongo enzi za mwalimu.
 
Back
Top Bottom