Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

Hamjalizika na kuwabaka + kuwalawiti watanganyika saivi mnaenda kuwang'oa meno bila ganzi?
Hii amani ya nchi hii tuliyorithishwa na wazee wetu italindwa Kwa namna yeyote Ile ikibidi,
Wat wachochezi wachochezi kama wewe tutapiga miti sana ad akili iwakae sawa.
 
Mhhh, yaani umeandika ukiwa na akili timamu kweli au bas tu nawew uonekane umeandika? BoT, ZRA/TRA zipo Zanzibar kabla huyo anayesema hajakuwa hata Makamo wa Rais!
 
Hii amani ya nchi hii tuliyorithishwa na wazee wetu italindwa Kwa namna yeyote Ile ikibidi,
Wat wachochezi wachochezi kama wewe tutapiga miti sana ad akili iwakae sawa.
Asante kwa kukiri kuwa mnatubaka na kutulawiti.
 
ramli na dhana potofu nonsense kabisa hizi gentleman πŸ’
 
Ndumuz mtakufa na kihoro

Tanganyika haitamalizwa kamwe

Watu wenu wa propaganda mnafeli sana
 
Duh hili andiko linatafakarisha sana, hongera ndg mwandishi
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Hivyo vituo hata Zanzibar pale Kijangwani kimejengwa tena kwa fedha za Tanganyika!
Kama hujui... Chochote cha Zanzibar ni cha Zanzibar... Cha Tanzania ni cha Zanzibar na Tanganyika!
 
Hivyo vituo hata Zanzibar pale Kijangwani kimejengwa tena kwa fedha za Tanganyika!
Kama hujui... Chochote cha Zanzibar ni cha Zanzibar... Cha Tanzania ni cha Zanzibar na Tanganyika!
Acha nae nimeshampa jina rasmi Lipumbavu. Anatumika tu kuchepusha mijadala humu.
 
Ramli kivipi?

Dhana potofu kivipi?

Alidhani alipokuwa anafanya haya tulikuwa hatujui maana yake?
gentleman,
hakuna wa kubabaika na dhana potofu na ramli nonsense kama hizo.

Inchi hii I aongozwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba na hakuna wa kuleta drama za kukiuka sheria halafu akaachwa tu.

Bila kujali mayowe au hizo ramli, waTanzania wataendelea kufurahia matunda ya umoja, amani na usalama wao kwa nguvu na gharama yoyote ile πŸ’
 
Sheria gani zinaongoza hii nchi siku hizi?

Goli la Mama linatolewa kwa Sheria gani?

Watu kutekwa, kubakwa na kulawitiwa kunafanyika chini ya Sheria ipi?

Wizi mkubwa wa kodi za wananchi wanaoufanya na kujilimbikizia utajiri huku Wananchi wa kawaida tukizidi kuwa masikini wanaufanya chini ya Sheria gani?
 
zote hizo unazoropoka ni drama nonsense kabisa gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…