Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Uchaguzi 2025 Zanzibar wapinzani hawana hoja tena maana walichokuwa wakipiganis ni mamlaka kamili ambayo wameshapata.Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.
Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.
Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.
Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.
Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.
Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
🚮🚮Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.
Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.
Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.
Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.
Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.
Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Tulia dozi ikuingie vizuri.
Tatizo Watanganyika hawaitaki Tanganyika yao! Wamesusa... Wanafurahia kuishi ndani ya Tanzania ambayo ni cha wote!
Wote si dini moja hawaHuyu mtu ni hatari kama Hamas
Sijui kwanini hili halijawahi jadiliwa humu nilishawahi kuuliza mimi kwenye comments kuhusu hii KVZHilo ni Jeshi Kamili, wenyewe wanaita Kikosi Cha Valantia, hata ukiingia Makambini kwao kila kitu ni JWTZ.
View attachment 3359040
View attachment 3359043
DuuhHapana, Watanganyika wanajichezea wenyewe! Lile bunge limejaa watu wa upande gani?
- Uwiano wa watu wa bara na visiwani ndani ya CCM ukoje?
- Polisi wa bara wanaowanyanyasa wabara, ni wazanzibari?
- Ofisi za serikali zisizowajali wananchi huku bara, zote zimekaliwa na wazanzibari?
Kwa taarifa kama hii, unadhani hakuna watanganyika wenye mamlaka na maamuzi wanaozijua?
Wamekosa;
- Utu
- Upendo
- Umoja
Wamejijaza;
- Ubinafsi
- Umelo
- Fikra finyu
Nioneshe chawa mmoja mwenye asili ya zanzibar anayepiga kelele bara ili kujipatia ridhiki!
Mwigu yuko busy kuiba, Janu busy kuiba, Wazaramo wa msoga busy kukomba, kila kona unasikia fulani kaweka kitu hapa, pale ni pa fulani n.k
- Wao sasa, wananunua mijumba Uarabuni, wanawapa ardhi bara...guess what, wabara wanaona ni maendeleo kwakuwa nao wanapata!
- Mchanga unahamisha bara kwenda visiwani kwa gari mpya zilizonunuliwa na JMT, wapo tu!
- Mtaje mzanzibari mmoja aliyetekwa au kupotea
Kama uliwahi kudhani au kusikia kuwa MAMA WA KAMBO ana roho mbaya kwa watoto wa kufikia, hutashangaa wala kubisha kuwa MUUNGANO WA WATOTO na ndugu wa watoto ndo utakaomng'oa mama wa kambo kwenye nyumba! Ndugu wa watoto ndo hao wananunua magari ya kifahari ya mwaka 2023, 2024
Amefanikiwa kutengeneza machawa wengi wa kitanganyika ili hoja za Tanganyika zisiibuliweZamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande mbili za muungano kwa shughuli za Maendeleo. Kwa sasa mapato ya Watalii wanaoshukia Zanzibar yanabaki Zanzibar hayaingii Mfuko Mkuu wa Hazina wa Serikali ya Tanzania. Ila ya Tanganyika anaweza kuyachepusha na kuyapeleka Zanzibar kwa sababu yeye ndo muamuzi mkuu.
Zamani Mamlaka ya Kodi ilikuwa moja, kwa sasa amefanikisha Zanzibar kuwa na mamlaka yao ya Kodi ambayo iko huru na mamlaka kamili nje ya TRA.
Zamani Sheria ya TISS haikutamka chochote kuhusu uraia wa Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar sasa kabadili Sheria Naibu Mkurugenzi wa TISS Zanzibar ni lazima awe Mzanzibari. Kwa kifupi hapa ni kama kuna Idara ya Usalama ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa shadow kisheria.
Zamani Benki Kuu ilikuwa moja, sasa hivi kalifanya Tawi la Benki Kuu ya Zanzibar kuwa Taasisi kamili ya Zanzibar inayojitegemea. Inakusanya Fedha na kujiratibia mambo yake yenyewe.
Mwanzoni kwenye mikopo iliwekwa vizuri kabisa kuhusu mgawanyo wa fedha za mikopo ili ziweze kuhudumia pande mbili za Muungano kwa uwiano. Sasahivi pesa zote za mikopo lazima ziende Zanzibar na kwa uwiano wa kuipendelea Zanzibar.
Kwa kifupi amekamilisha kuipa Zanzibar Uhuru wake kutoka Tanganyika. Haijali Tanganyika na hata ichafuke kivipi ameshajiwekea mazingira ya kurudi na kuishi kwa raha na mustarehe Zanzibar ambayo ameshaipa Mamlaka kamili na uwezo wa kujiendesha nje ya Muungano.
Updates
Ameimaliza ATCL saivi ndege zake haziruhusiwi hata kukanyaga Ulaya alafu anakamilisha kuanzisha Shirika la Ndege la Zanzibar
Tupe habari
Watanganyika wanaenda kuamua lolote na liwe.Amefanikiwa kutengeneza machawa wengi wa kitanganyika ili hoja za Tanganyika zisiibuliwe
Zipi? Za kina Gwajiboy na Slow slow sio habari?Tupe habari
Hali yako ikoje huko ulipo?Zipi?
Safi kabisaHali yako ikoje huko ulipo?
Safi ya kuandika tu au safi safi kabisa?Safi kabisa
Hii mbona unataka kulazimisha majibu yako?Safi ya kuandika tu au safi safi kabisa?
Kwani wakifungua ni dhambi? Hawana pesa zao?According to ChoiceVariable, sasa wanafungua shirika lao la ndege kwa hadaa wakiita la kitaifa. Huenda nia ni kufly straight from Zanzibar middle/far east kwa air zanzibar while Tanganyika is no more😡😡😡😡