Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

Huwez kuacha kutumia hela unazotafuta kwaajili ya kazi hiyo
Kulipia mamilioni kwenye shule as English Mediums ni kutumia hela au kumpa mmiliki wa shule aitumie na watoto wake
 
Depression/stress na over expectations. Pengine, alikua na matarajio kua akimaliza atapata kazi nzuri kubwa ya maana sasa amekuja mtaani hali ni tofauti
 
Onana na wenye ilmu za geomancy au numerous watakupa msaada zaidi katika hilo
 
YAAN AKIANZA HIVI BASI USISHANGAE MKUU ANAGAWA HATARE MAMBOYETU

MAANA KULE ALI CONCENTRATE MMEA NA SHULE

SO ANAKUWA KAMA AMEMISI ZILE STAREHE YAAN HAWA NAWAPENDAGA SANA

KUNA MMOJA ALINIPENDAGA PALE MUHIMBILI.MWAKA MZIMA ANANINYIMA LAKINI ALIMALIZA AISEE YAAN KILA SEHEMU UKOWAPI DIDY..NTUMIE NAULI YATAX HIMO NIMO...AKAENDA NJE TUKAISHIA MPAKA KESHO WHATSUP NA FB TU
 
Mjomba naye ni Mama. Hilo ni jukumu lako.

Mtoto kwa mama Hakui
 
Niliweka mfano mmoja mrahisi ili iwe vyepesi kuelewa..watu wengi makini uwajuao Wana vuta na haina madhara kuliko pombe sema serikali nyingi zinakataza bange sababu watu wata amka usingizi
Bangi ni nzurii tu ikitumika bila kui abuse..tatizo lina anzia pale unapo kua dependence kwenye uraibu wowote...

Si hamasishi uvutaji Bangi...Ila Bangi INAUWEZO WA KUMUAMSHA YULE MTU WAKO WA NDANI.
 
Sasa hapo vina uhusiano gani?
 
Tulieni kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake ukifika
 
Hupendi kufikiri. Nimezungumzia fate. Nikimaanisha hakuna haja ya kulipa mamilioni shule ya msingi kwa sababu hujui mtoto wako atakuja kuwa kitu gani baadae. Watoto hubadilika sana wanapo Balehe.

Soma swali Elewa swali jibu swali
Mpaka unaandika comment ile, mleta mada hajazungumzia popote kuhusu gharama za mgonjwa shule ya msingi. Nani kakwambia huyo mgonjwa alilipiwa mamilioni shule ya msingi?

Naona una assumptions kuwa kwakuwa mtu ana Master's ya udaktari tiyari kasoma kwa mamilioni shule ya msingi.
 
Wewe uwezo wako ni kuchambua ushirikina wa manara ndani ya vikosi vya Simba na yanga tu
 
Mjomba mtu kwa kuwa una gariπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mjomba mtu kwa kuwa una nguvu!!!
Mjomba mtu kwa kuwa una smart !! Ukaamua utukanye !
Basi poa mjomba mtu,maadam mmejua mapema limeisha Hilo


Siku ukijua Kavuta bangi sababu kaachwa ,sijui mjomba mtu kwa kuwa ......sijui utamsaidiaje (any way natania kupunguza maumivu ,ila inasikitisha
 
Bangi haitakiwi uchanganye na pombe...Kama mmea piga mmea pekee..

Usichanganye mmea + pombe yaani hutoboi.
Kama pombe drinking responsible..kunywa kwa KIASI kipimo chako yaan unatakiwa ujue alcohol persistence yako na uishi humo..

Aisome min -me
Dr unatumia /ulitumia kipi kati ya hivyo hadi kufikia hapo
 
Ana umri gani?
Ana ajira?
Vp ana mahusiano & ana familia?
Kuna vitu mtoto wa kike asipoachieve ktk umri fulan (mostly ndoa & familia) achivements nyingine hua wanaona ni kama hazina maana tena.
Ndo afikie hatua hiyo kisa kukosa ndoa au watoto? Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…