Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

Huwez kuacha kutumia hela unazotafuta kwaajili ya kazi hiyo
Kulipia mamilioni kwenye shule as English Mediums ni kutumia hela au kumpa mmiliki wa shule aitumie na watoto wake
halafu usizitumie mjomba. Watoto wasomeshwe kwa gharama zozote ikitokea bahat mbaya sawa lakin ulitimiza wajibu. Unafikiri huko ulaya marekan au Australia hakuna hivyo sasa. We peekaboo shule tena ya kiume, mbona tumezaliwa nyumba za matope na tukatoka huko watu na unajenga ghorofa kwanini usirudie nyumba ya udongo kama unafikiri ni nzur.
 
mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Depression/stress na over expectations. Pengine, alikua na matarajio kua akimaliza atapata kazi nzuri kubwa ya maana sasa amekuja mtaani hali ni tofauti
 
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini,
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.

yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.

mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Onana na wenye ilmu za geomancy au numerous watakupa msaada zaidi katika hilo
 
YAAN AKIANZA HIVI BASI USISHANGAE MKUU ANAGAWA HATARE MAMBOYETU

MAANA KULE ALI CONCENTRATE MMEA NA SHULE

SO ANAKUWA KAMA AMEMISI ZILE STAREHE YAAN HAWA NAWAPENDAGA SANA

KUNA MMOJA ALINIPENDAGA PALE MUHIMBILI.MWAKA MZIMA ANANINYIMA LAKINI ALIMALIZA AISEE YAAN KILA SEHEMU UKOWAPI DIDY..NTUMIE NAULI YATAX HIMO NIMO...AKAENDA NJE TUKAISHIA MPAKA KESHO WHATSUP NA FB TU
 
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.

Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.

Yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.

Mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo?

Msaada ili tumshauri mama yake
Mjomba naye ni Mama. Hilo ni jukumu lako.

Mtoto kwa mama Hakui
 
Kwani wewe Magufuli alikuwa Mungu wako au ndio reference point yako?
sio kila alichofanya ni sahihi.

I guess wewe age yako ni around 40yrs or above ila una hama
sisha matumizi ya bangi ukiwa kama mzazi unatoa funzo gani

Faida za bangi ni chache kuiko faida yake kwa hiyo usijilinganishe

na sijui Marekani au wapi
Niliweka mfano mmoja mrahisi ili iwe vyepesi kuelewa..watu wengi makini uwajuao Wana vuta na haina madhara kuliko pombe sema serikali nyingi zinakataza bange sababu watu wata amka usingizi
Bangi ni nzurii tu ikitumika bila kui abuse..tatizo lina anzia pale unapo kua dependence kwenye uraibu wowote...

Si hamasishi uvutaji Bangi...Ila Bangi INAUWEZO WA KUMUAMSHA YULE MTU WAKO WA NDANI.
 
Ndio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.

Thank me later

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Sasa hapo vina uhusiano gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20241211_143628.jpg
    Screenshot_20241211_143628.jpg
    396.6 KB · Views: 3
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.

Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.

Yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila daktari naona anashauri aende sober akitoka hapa.

Mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo?

Msaada ili tumshauri mama yake
Tulieni kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake ukifika
 
Hupendi kufikiri. Nimezungumzia fate. Nikimaanisha hakuna haja ya kulipa mamilioni shule ya msingi kwa sababu hujui mtoto wako atakuja kuwa kitu gani baadae. Watoto hubadilika sana wanapo Balehe.

Soma swali Elewa swali jibu swali
Mpaka unaandika comment ile, mleta mada hajazungumzia popote kuhusu gharama za mgonjwa shule ya msingi. Nani kakwambia huyo mgonjwa alilipiwa mamilioni shule ya msingi?

Naona una assumptions kuwa kwakuwa mtu ana Master's ya udaktari tiyari kasoma kwa mamilioni shule ya msingi.
 
Ndio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.

Thank me later

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wewe uwezo wako ni kuchambua ushirikina wa manara ndani ya vikosi vya Simba na yanga tu
 
Mjomba mtu kwa kuwa una gari😄😄😄
Mjomba mtu kwa kuwa una nguvu!!!
Mjomba mtu kwa kuwa una smart !! Ukaamua utukanye !
Basi poa mjomba mtu,maadam mmejua mapema limeisha Hilo

Siku ukijua Kavuta bangi sababu kaachwa ,sijui mjomba mtu kwa kuwa ......sijui utamsaidiaje (any way natania kupunguza maumivu ,ila inasikitisha
 
Bangi haitakiwi uchanganye na pombe...Kama mmea piga mmea pekee..

Usichanganye mmea + pombe yaani hutoboi.
Kama pombe drinking responsible..kunywa kwa KIASI kipimo chako yaan unatakiwa ujue alcohol persistence yako na uishi humo..

Aisome min -me
Dr unatumia /ulitumia kipi kati ya hivyo hadi kufikia hapo
 
Ana umri gani?
Ana ajira?
Vp ana mahusiano & ana familia?
Kuna vitu mtoto wa kike asipoachieve ktk umri fulan (mostly ndoa & familia) achivements nyingine hua wanaona ni kama hazina maana tena.
Ndo afikie hatua hiyo kisa kukosa ndoa au watoto? Mmmh
 
Back
Top Bottom