Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Usipige simu wala kumtafuta, endelea na maisha. Shida yako ni kama unataka malipo ya fadhila zako ulizotenda kwake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Council of Men tumepitisha aende jera miezi sita na kila siku apigwe viboko vitatu akitoka akamuoneshee mama yake, maana anaonekana mtoto wa Mama
na kazi ngumu akiwa jela shenzi huyu
 
Bila ata huyo mtu wako tengeneza mwili mkuu , kuwa na nyama zilizozidi ni
ujinga mkuu , hauwezi kuwa mtu mwenye akili then usiujali mwili wako.
 
Labda uwe umeeka furahisha genge ila kama ni kweli basi we ni gendaheka
 
Wanasema mchele ulitoka kwenye mpunga, na hapo ndipo utakapopatikana wali.. Basi itoshe tu kusema wajinga ndio wali wao!
 
Hebu weka picha yako hapa mkuu tuone vituko vya dunia!
 
Dah haya maisha bana wenzako wanawaangaisha wanawake lakini wewe unahangaishwa na mwanamke
 
Mwanamke hatakiwi kupenda Muonekano wako anatakiwa kukupenda kama ulivyo

Kuhusu mtoto kwann alikuficha??
Kifupi hakuna wife material hapo
Watu wanaangalia akili sio kifua.

Na wewe unahangaika kumridhisha mwanamke???
Interesting answer [emoji28]
 
Bado atakuja kukwambia unywe dawa za kuongeza mashine ...hataki kibamia....

Na mwisho atakwambia jitahidi utafute hela za kutosha hataki mume mwenye hela za mawazo...

Upumbavu ukiuendekeza hauna stop
[emoji28][emoji28]
 
Hatuna mtu hapa... Mwanaume unashindwa kufanya uamzi wa Jambo la kipuuzi Kama Hilo?. Muulize Kama atakula gym afu uanze kuamkia na kulala hukohuko.
 
Jamani tuheshimiane plz. Nimeomba ushauri hasa matusi ya nini? Ndio nampenda. Tuache ujinga

New member acha upikwe uive, huku haupati unachokitaka wewe na roho yako, huku unapewa facts tu.

Jikaze ili huo ujinga ukutoke, haushangai kuona idadi kubwa ya wanaume wenzako tunakuona mjinga?

CHANGE OR PERISH.
 
Boy child ! Boy child! Boy child!

Ushauri wangu ni usije kuoa hapo jali moyo wako na afya ya akili , kata mazoea naye usitume pesa yoyote kwake ikiwezekana block kila sehemu focus kwenye mambo yako ya muhimu huku ukiomba upate mke mwema .

Result ya hiyo Boycott itafanya akutafute kwa kasi zaidi lakini atakuwa hakutafutii kwa sababubya upendo la! Atakuwa anakutafuta kwa sababu ya pesa yako na matunzo wewe respond kwa kublock tu ikiwezekana tafuta line nyengine muda ni rafiki mzuri tu utasahau na maisha yatasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…