Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
-
- #41
Shame on meNi kweli. But u are between a hard rock and a stone right now. Uko kwenye position mbaya sana. I wish ungekuja kuomba ushauri kabla ya kuanza kuishi nae (baada ya mahari). Mimi ningekushauri kwa herufi kubwa; USIANZE KUISHI NAE,HADI BAADA YA KUAPA KANISANI.
Ila sasa umeshakosea pakubwa sana. Yaani ulipo sasa ni kuomba Mungu tu hilo la kwenda kuoa mwingine lisitokee, you dont have much to do zaidi ya kusubiri "neema" zake huyo mwanaume awiwe kukuoa.
Kosa kubwa ulilofanya ni kwenda kuishi nae huyo jamaa.wewe cha kufanya acha kumkumbushia tena hilo swala la ndoaSijafukuzwa hata
Tayari Thread Imefungwa Jibu Sahihi LimetolewaKama mnaishi pamoja kwa miaka 3 hiyo tayari ni ndoa.
Pole sana kwa changamoto, jitahidi tu kumsisitiza ili muweze kufunga ndoa siyo vizuri kuishi bila ndoa hiyo ni dhambi kwa Mungu.
Nadhani ameshaniona desperate sana na Ndoa ila wazazi nao wananipa pressureKosa kubwa ulilofanya ni kwenda kuishi nae huyo jamaa.wewe cha kufanya acha kumkumbushia tena hilo swala la ndoa
Hiyo sio ndoa, ila sheria ina presume hivyo. Hata mkiishi miaka mia kama hakuna ndoa inayotambulika, yaani ya kidini, kiserikali mtu hawezi dai talaka maana hamna ndoa hapo
Hehehe ndugu zangu wenye imani hii mkuje mfafanue hii comment kwa hiyo kiapo cha ndoa sio muhimuNitajie fungu hata moja kwenye Biblia linalosema tufunge ndoa kanisan au serikalini?
Watu wote kwenye biblia walipolipa mahali tayali ilihesabika ndoa
Dhambi ni kuishi na mtu hajakulipia mahali ila kama umelipiwa wewe ni mke wa mtu sio mchumba
Kwaiyo mkuu nitulie tu??incase likitokea la kutokea natambulikaje kisheriaNitajie fungu hata moja kwenye Biblia linalosema tufunge ndoa kanisan au serikalini?
Watu wote kwenye biblia walipolipa mahali tayali ilihesabika ndoa
Dhambi ni kuishi na mtu hajakulipia mahali ila kama umelipiwa wewe ni mke wa mtu sio mchumba
Na hii hakosi ila basi tuMuulize anajipanga kwa lipi kama ni pesa msilazimishe ndoa za michango ya watu
Elfu 50 tu, inatosha kuwa mume na mke
Hehehe ndugu zangu wenye imani hii mkuje mfafanue hii comment kwa hiyo kiapo cha ndoa sio muhimu
Comment nzuriUkiachana na kumuanzishia mada za harusi, maisha yako na jamaa yana amani na upendo?
Je, mada ya harusi huchafua hali ya hewa hapo nyumbani na kufanya mgombane mpaka kusababisha usiku mlale kila mtu kamgeuzia mwenzake mgongo?
Kama jamaa anakupenda na anakujali ila unataka uharibu maisha yenu kisa anachelewesha watu kupiga vigeregere na vifijo wewe utakua punguani.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Tunaishi kwa amani na upendo kwakweli anajali hatukosi mahitaji ila niko insecureUkiachana na kumuanzishia mada za harusi, maisha yako na jamaa yana amani na upendo?
Je, mada ya harusi huchafua hali ya hewa hapo nyumbani na kufanya mgombane mpaka kusababisha usiku mlale kila mtu kamgeuzia mwenzake mgongo?
Kama jamaa anakupenda na anakujali ila unataka uharibu maisha yenu kisa anachelewesha watu kupiga vigeregere na vifijo wewe utakua punguani.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kwaiyo mkuu nitulie tu??incase likitokea la kutokea natambulikaje kisheria
Mahari ashalipaUshaolewa mama! Vipi ashaenda kulipa mahari??
Asante kwa ufafanuzi shida nikimwambia haya mambo hali ya hewa inabadilika ndaniUshauri mzuri ni huu:- Ukweli ni kuwa tayali we ni mke wa mtu (mahali ndo kiashirio) hivyo kaa tulia
Serikali inaitambua aina ya ndoa yako ila nakushaur achana na mambo ya ndoa mwombe mwemde boman mkafunge nyie wawili na mashahidi ili upate cheti
Kwa sababu hapo ulipo akifa serikali inakutambua kama mke halali ila kkitokea sahiz akaenda kwa siri kufunga ndoa(kupewa cheti na mtu mwimgine tofaut na wewe) hapo ndo kitaumana na hutokuwa na chako ila kama hatapata cheti na mtu mwingine basi we ni halali
Huenda Hofu Yako Ikawa Ni Muhimu Kuliko Ushauri Unaopewa Hapa. Jitahidi Ujiridhishe Iwapo Labda Alishaoa Kabla Yako Wewe Ama Vp Ingawa Mpaka HapoKwaiyo mkuu nitulie tu??incase likitokea la kutokea natambulikaje kisheria