Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 454
- 542
- Thread starter
- #41
Shame on meNi kweli. But u are between a hard rock and a stone right now. Uko kwenye position mbaya sana. I wish ungekuja kuomba ushauri kabla ya kuanza kuishi nae (baada ya mahari). Mimi ningekushauri kwa herufi kubwa; USIANZE KUISHI NAE,HADI BAADA YA KUAPA KANISANI.
Ila sasa umeshakosea pakubwa sana. Yaani ulipo sasa ni kuomba Mungu tu hilo la kwenda kuoa mwingine lisitokee, you dont have much to do zaidi ya kusubiri "neema" zake huyo mwanaume awiwe kukuoa.