Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Ni kweli. But u are between a hard rock and a stone right now. Uko kwenye position mbaya sana. I wish ungekuja kuomba ushauri kabla ya kuanza kuishi nae (baada ya mahari). Mimi ningekushauri kwa herufi kubwa; USIANZE KUISHI NAE,HADI BAADA YA KUAPA KANISANI.
Ila sasa umeshakosea pakubwa sana. Yaani ulipo sasa ni kuomba Mungu tu hilo la kwenda kuoa mwingine lisitokee, you dont have much to do zaidi ya kusubiri "neema" zake huyo mwanaume awiwe kukuoa.
Shame on me
 
Pole sana kwa changamoto, jitahidi tu kumsisitiza ili muweze kufunga ndoa siyo vizuri kuishi bila ndoa hiyo ni dhambi kwa Mungu.

Nitajie fungu hata moja kwenye Biblia linalosema tufunge ndoa kanisan au serikalini?
Watu wote kwenye biblia walipolipa mahali tayali ilihesabika ndoa
Dhambi ni kuishi na mtu hajakulipia mahali ila kama umelipiwa wewe ni mke wa mtu sio mchumba
 
Kosa kubwa ulilofanya ni kwenda kuishi nae huyo jamaa.wewe cha kufanya acha kumkumbushia tena hilo swala la ndoa
Nadhani ameshaniona desperate sana na Ndoa ila wazazi nao wananipa pressure
 
Hiyo sio ndoa, ila sheria ina presume hivyo. Hata mkiishi miaka mia kama hakuna ndoa inayotambulika, yaani ya kidini, kiserikali mtu hawezi dai talaka maana hamna ndoa hapo

Kuna ndoa tatu ndg
1. Kanisan
2. Serikali
3. Kimira
Hii ya tatu inahusisha upokeaji wa mahali kwa maandishi na zote zinatambulika kisheria

Huyu ni mke wa mtu aache ujinga na tamaa za vigelegele
 
Nitajie fungu hata moja kwenye Biblia linalosema tufunge ndoa kanisan au serikalini?
Watu wote kwenye biblia walipolipa mahali tayali ilihesabika ndoa
Dhambi ni kuishi na mtu hajakulipia mahali ila kama umelipiwa wewe ni mke wa mtu sio mchumba
Hehehe ndugu zangu wenye imani hii mkuje mfafanue hii comment kwa hiyo kiapo cha ndoa sio muhimu
 
Kwaiyo mkuu nitulie tu??incase likitokea la kutokea natambulikaje kisheria
 
Muulize anajipanga kwa lipi kama ni pesa msilazimishe ndoa za michango ya watu
Elfu 50 tu, inatosha kuwa mume na mke
 
Hehehe ndugu zangu wenye imani hii mkuje mfafanue hii comment kwa hiyo kiapo cha ndoa sio muhimu

Wap kwenye biblia wameandika tukafunge ndoa au nioneshe fungu hata moja wametaja flan aliemda kanisan au kwa kiongozi wa dini akafungishwa ndoa? Haipo na haijawahi kuwepo hizi ni sheria nje ya Biblia dini zimejitungia
 
Ukiachana na kumuanzishia mada za harusi, maisha yako na jamaa yana amani na upendo?
Je, mada ya harusi huchafua hali ya hewa hapo nyumbani na kufanya mgombane mpaka kusababisha usiku mlale kila mtu kamgeuzia mwenzake mgongo?

Kama jamaa anakupenda na anakujali ila unataka uharibu maisha yenu kisa anachelewesha watu kupiga vigeregere na vifijo wewe utakua punguani.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Comment nzuri
 
ndoa ni wewe jinsi ya kumshawishi.

wanawake wengi wanakosa ndoa kulinga na kutoa ushawishi mfano kitandani,kumuhudumia mwanaume au sijui kufundwa !

kuna uzi wa dada mmoja sijui jina ila kaeleza mapungufu yetu wanaume hata kuchepuka
 
Ukiachana na kumuanzishia mada za harusi, maisha yako na jamaa yana amani na upendo?
Je, mada ya harusi huchafua hali ya hewa hapo nyumbani na kufanya mgombane mpaka kusababisha usiku mlale kila mtu kamgeuzia mwenzake mgongo?

Kama jamaa anakupenda na anakujali ila unataka uharibu maisha yenu kisa anachelewesha watu kupiga vigeregere na vifijo wewe utakua punguani.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Tunaishi kwa amani na upendo kwakweli anajali hatukosi mahitaji ila niko insecure
 
Kwaiyo mkuu nitulie tu??incase likitokea la kutokea natambulikaje kisheria

Ushauri mzuri ni huu:- Ukweli ni kuwa tayali we ni mke wa mtu (mahali ndo kiashirio) hivyo kaa tulia
Serikali inaitambua aina ya ndoa yako ila nakushaur achana na mambo ya ndoa mwombe mwemde boman mkafunge nyie wawili na mashahidi ili upate cheti
Kwa sababu hapo ulipo akifa serikali inakutambua kama mke halali ila kkitokea sahiz akaenda kwa siri kufunga ndoa(kupewa cheti na mtu mwimgine tofaut na wewe) hapo ndo kitaumana na hutokuwa na chako ila kama hatapata cheti na mtu mwingine basi we ni halali
 
Asante kwa ufafanuzi shida nikimwambia haya mambo hali ya hewa inabadilika ndani
 
Back
Top Bottom