Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ondoa shaka huyo tayari ni mumeo,hofu aliyonayo ni kuhusu sherehe ya harusi/kusimama mbele ya watu madhabahuni na kukuvisha pete. Jaribu kumjengea uwezo, wa kutaka ndoa isiyokuwa ya gharama wala watu, ikiwezekana wewe ndio uwe mfatiliaji wa hilo suala huko mnapoabudia.Ikiwezekana ombeni ndoa ya kimyakimya ili uweze kupata cheti. Kwa uzoefu, Mi ndoa yangu nilifunga baada ya kuishi na mwenzangu miaka 11,huku tukiwa na watoto. kwa hiyo ondoa wasiwasi cha muhimu jitahidi kuwa upande wake na si wa wazaziNimjamzito sasa
Asante kwa ushauri,nimekuelewaOndoa shaka huyo tayari ni mumeo,hofu aliyonayo ni kuhusu sherehe ya harusi/kusimama mbele ya watu madhabahuni na kukuvisha pete. Jaribu kumjengea uwezo, wa kutaka ndoa isiyokuwa ya gharama wala watu, ikiwezekana wewe ndio uwe mfatiliaji wa hilo suala huko mnapoabudia.Ikiwezekana ombeni ndoa ya kimyakimya ili uweze kupata cheti. Kwa uzoefu, Mi ndoa yangu nilifunga baada ya kuishi na mwenzangu miaka 11,huku tukiwa na watoto. kwa hiyo ondoa wasiwasi cha muhimu jitahidi kuwa upande wake na si wa wazazi
Nitarudi mkuuWasiwasi Ndiyo Akili Japo Ukweli Sisi Wagalatia Mambo Ni Mengi Sana Ila Sijajua Upande Dini Ya Mudi Mambo Ni Rahisi
Chukua Hatua Lazima Lipo Jambo Tu
Napenda Baada Ya Ushauri Jitahidi Uje Baadaye Na Mrejesho Mzuri Sana
Mbinu nzuri kwa sasa nendeni kwa DC mkapate ndoa ya gvt kwanza then usubiri hiyo shereh nyingine hakuna namnaHabari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Ndoa ipi tena!!!Kiafrika ukishalipiwa mahari (bride price/dowry) umeshaolewa ni ndoa hiyo kamili ya kimila (customary marriage) na inatambulika kisheria na una haki zote kama mke wa ndoa ya kidini(msikitini/kanisani) au ya bomani.Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Wewe mwambie hapa tunafunga ndoa ama mie nasepa zangu. Jipe thamani mwenyewe kwanza. Miaka mitatu anasasambua mbususu tuu hataki kufunga ndoa hayupo seriousHata kama nimeposwa mkuu
Wewe mwambie hapa tunafunga ndoa ama mie nasepa zangu. Jipe thamani mwenyewe kwanza. Miaka mitatu anasasambua mbususu tuu hataki kufunga ndoa hayupo serious
Aondoke na ujauzito wa jamaa sio?Wewe mwambie hapa tunafunga ndoa ama mie nasepa zangu. Jipe thamani mwenyewe kwanza. Miaka mitatu anasasambua mbususu tuu hataki kufunga ndoa hayupo serious
KikubwaNataka Ndoa ya kanisani kwa mahari tu am insecure
Usimpe presha sanaa.,unaweza poteza vyoteTunaishi kwa amani na upendo kwakweli anajali hatukosi mahitaji ila niko insecure
Mwamba hataki hata hiyo ya mkuu wa wilaya.Usimpe presha sanaa.,unaweza poteza vyote
shauri ya kwa mkuu wa wilaya afu mkae kimya tu cheti si unacho?.
Siku ya sherehe ndo mseme tuna cheti tyr
Una ushauri mbayaIla na nyie warembo saa nyingine mnatafuta madharau ya kijinga. Sasa miaka mitatu mtu hajakuoa sii unasepa unatafuta ustaarabu mwengine. Stop being cheap.
MhhhhhhhhhhhhhMwamba hataki hata hiyo ya mkuu wa wilaya.
Ndo shida inapoanzia.
Yani una ushauri mbaya sanaWewe mwambie hapa tunafunga ndoa ama mie nasepa zangu. Jipe thamani mwenyewe kwanza. Miaka mitatu anasasambua mbususu tuu hataki kufunga ndoa hayupo serious
Akuchague kwa lipi? Huna maajabuNdounambie ndoa ni kuchumbiwa tu??kwanini asiniharalishe kanisani kama kweli amenichagua
Huwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.Nyie ni wanandoa...
hamjafanya sherehe tu
endelea kupalilia ndoa kwa upendo, cheti unahisi kitabadili nini
Sasa unagegedwa three years hujionei huruma wee mwenyewe.Una ushauri mbaya
maisha hatufanani kuanza na cheti sio guarantee
Ushauri mzuri kabisa...ujinga ni kukaa unagegedwa na mwanaume ambaye sie mume wako.Yani una ushauri mbaya sana
Hujali hisia za watu
unadhani ultimatums work all the time?.
diplomasia kwanza..