Ondoa shaka huyo tayari ni mumeo,hofu aliyonayo ni kuhusu sherehe ya harusi/kusimama mbele ya watu madhabahuni na kukuvisha pete. Jaribu kumjengea uwezo, wa kutaka ndoa isiyokuwa ya gharama wala watu, ikiwezekana wewe ndio uwe mfatiliaji wa hilo suala huko mnapoabudia.Ikiwezekana ombeni ndoa ya kimyakimya ili uweze kupata cheti. Kwa uzoefu, Mi ndoa yangu nilifunga baada ya kuishi na mwenzangu miaka 11,huku tukiwa na watoto. kwa hiyo ondoa wasiwasi cha muhimu jitahidi kuwa upande wake na si wa wazazi