Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Nimjamzito sasa
Ondoa shaka huyo tayari ni mumeo,hofu aliyonayo ni kuhusu sherehe ya harusi/kusimama mbele ya watu madhabahuni na kukuvisha pete. Jaribu kumjengea uwezo, wa kutaka ndoa isiyokuwa ya gharama wala watu, ikiwezekana wewe ndio uwe mfatiliaji wa hilo suala huko mnapoabudia.Ikiwezekana ombeni ndoa ya kimyakimya ili uweze kupata cheti. Kwa uzoefu, Mi ndoa yangu nilifunga baada ya kuishi na mwenzangu miaka 11,huku tukiwa na watoto. kwa hiyo ondoa wasiwasi cha muhimu jitahidi kuwa upande wake na si wa wazazi
 
Asante kwa ushauri,nimekuelewa
 
Wasiwasi Ndiyo Akili Japo Ukweli Sisi Wagalatia Mambo Ni Mengi Sana Ila Sijajua Upande Dini Ya Mudi Mambo Ni Rahisi
Chukua Hatua Lazima Lipo Jambo Tu
Napenda Baada Ya Ushauri Jitahidi Uje Baadaye Na Mrejesho Mzuri Sana
 
Nitarudi mkuu
 
Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.

Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.

Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.

Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.

Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Mbinu nzuri kwa sasa nendeni kwa DC mkapate ndoa ya gvt kwanza then usubiri hiyo shereh nyingine hakuna namna
 
Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.

Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.

Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.

Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.

Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Ndoa ipi tena!!!Kiafrika ukishalipiwa mahari (bride price/dowry) umeshaolewa ni ndoa hiyo kamili ya kimila (customary marriage) na inatambulika kisheria na una haki zote kama mke wa ndoa ya kidini(msikitini/kanisani) au ya bomani.
 
Ndiyo nilichomwambia hicho Mkuu afungashe arudi kwao au apige kimya waendelee kupika na kupakua kwa raha zao. Hakuna muoaji hapo.
Wewe mwambie hapa tunafunga ndoa ama mie nasepa zangu. Jipe thamani mwenyewe kwanza. Miaka mitatu anasasambua mbususu tuu hataki kufunga ndoa hayupo serious
 
Nataka Ndoa ya kanisani kwa mahari tu am insecure
Kikubwa
Mshauri afu
mkafunge serikalini upate cheti ufeel secure
Inataka watu wanne kama sikosei wajuzi watasema

mana ya kanisani inataka shela nk na mwenzio hajajiandaa
Ila ya mkuu wa wilaya mnataka maandalizi gani?.
 
Nyie ni wanandoa...

hamjafanya sherehe tu

endelea kupalilia ndoa kwa upendo, cheti unahisi kitabadili nini
Huwa napata mashaka sana napoona mwanamke msisitizo wake unakuwa kwenye cheti cha ndoa,natafakari kwa upana sana,anataka kufanyia nini hiko cheti? Ukiona mwanamke msisitizo wake umuoe apate cheti cha ndoa,huyo wa kupiga chini fasta.
 
Back
Top Bottom