Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Enzi zetuu tulikuwaa tunajisikiaa aibu kuomba pesaa...aibuu na haiba za kike zilitujaaaa na hata kumuangalia mwanaume usoni hatuwezi..nakumbuka zile sikuu zilikuwaa ni beautiful moments kwa kweli
 
Ndio hivyo nyakati zinatofautiana lakini wakatokea Wanawake wa aina hiyo uliosema hao Moja kwa Moja wataolewa kutokana uhaba wao kwa kipindi hichi
 
Ni ushamba wako tu mkuu hakuna kingine hapo.

Balehe ya pili utakuwa umeelewa hawa jinsia ya ke wanahitaji sana kuwaelewa na kwenda nao kwa akili
Sasa wa kwako huwa nani anaenda nao kwa akili?😁
 
Enzi zetuu tulikuwaa tunajisikiaa aibu kuomba pesaa...aibuu na haiba za kike zilitujaaaa na hata kumuangalia mwanaume usoni hatuwezi..nakumbuka zile sikuu zilikuwaa ni beautiful moments kwa kweli
Aina yako nitakupa pesa mpaka ushangae....miaka yenu wanawake mlikuwepo sasa hivi hamna wanawake kuna akina sophy27 😁
 
Hakika hakika.
Sasa kama unashindwa kuhonga kistaarabu ndo ufikie kumdhalilisha mtu mbele ya jamii?

Kwani wakipeana dudu huko wanakuja kujitangaza hapa kuwa tumechakatana?

Ukishindwa kumpa, mjibu kistaarabu na siyo kumtangaza kama kakata kimeo bana
Pole ndo hivyo tena....
 
Aina yako nitakupa pesa mpaka ushangae....miaka yenu wanawake mlikuwepo sasa hivi hamna wanawake kuna akina sophy27 😁
😂😂Tafuta Hela tutumie mambo ya kuchimba chimba chini na kutafuta vijit sahiz hakuna ukinitongoza tu njaa inaniuma hapohapo🤣🤣🤣🤣
Naona umeenjoy Leo 😂😂😂
 
🤣🤣🤣 Naona upo na pacha wako Kwenye ligi nzito sijui mshindi atakuwa Nani?
 
Back
Top Bottom