Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Ghafla sana subiri subir kidogo usianze kutumia izo mbinu mapema hiv😂Lazima mbinu za ziada zitumike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghafla sana subiri subir kidogo usianze kutumia izo mbinu mapema hiv😂Lazima mbinu za ziada zitumike
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huwa kweli inakusaidia? Au ndo unapata akina mwajuma ndala ndefu?🤣
Wew mkorofi😂😂😂Utajua mwenyewe bwana we! We tafuta pesa ili tuziombe🤣🤣🤣🤣
Ndio hivyo nyakati zinatofautiana lakini wakatokea Wanawake wa aina hiyo uliosema hao Moja kwa Moja wataolewa kutokana uhaba wao kwa kipindi hichiEnzi zetuu tulikuwaa tunajisikiaa aibu kuomba pesaa...aibuu na haiba za kike zilitujaaaa na hata kumuangalia mwanaume usoni hatuwezi..nakumbuka zile sikuu zilikuwaa ni beautiful moments kwa kweli
Sasa wa kwako huwa nani anaenda nao kwa akili?😁Ni ushamba wako tu mkuu hakuna kingine hapo.
Balehe ya pili utakuwa umeelewa hawa jinsia ya ke wanahitaji sana kuwaelewa na kwenda nao kwa akili
Aina yako nitakupa pesa mpaka ushangae....miaka yenu wanawake mlikuwepo sasa hivi hamna wanawake kuna akina sophy27 😁Enzi zetuu tulikuwaa tunajisikiaa aibu kuomba pesaa...aibuu na haiba za kike zilitujaaaa na hata kumuangalia mwanaume usoni hatuwezi..nakumbuka zile sikuu zilikuwaa ni beautiful moments kwa kweli
Sitoi aiseee...kwa wauzaji? Hat 500. Sitoi....Utajua mwenyewe bwana we! We tafuta pesa ili tuziombe🤣🤣🤣🤣
Pole ndo hivyo tena....Hakika hakika.
Sasa kama unashindwa kuhonga kistaarabu ndo ufikie kumdhalilisha mtu mbele ya jamii?
Kwani wakipeana dudu huko wanakuja kujitangaza hapa kuwa tumechakatana?
Ukishindwa kumpa, mjibu kistaarabu na siyo kumtangaza kama kakata kimeo bana
😂😂Tafuta Hela tutumie mambo ya kuchimba chimba chini na kutafuta vijit sahiz hakuna ukinitongoza tu njaa inaniuma hapohapo🤣🤣🤣🤣Aina yako nitakupa pesa mpaka ushangae....miaka yenu wanawake mlikuwepo sasa hivi hamna wanawake kuna akina sophy27 😁
🤣🤣🤣 Naona upo na pacha wako Kwenye ligi nzito sijui mshindi atakuwa Nani?😂😂Tafuta Hela tutumie mambo ya kuchimba chimba chini na kutafuta vijit sahiz hakuna ukinitongoza tu njaa inaniuma hapohapo🤣🤣🤣🤣
Naona umeenjoy Leo 😂😂😂
😂😂😂Sasahiv siongei had mwanasheriawangu aje nitaharibu brandyangu 😂😂🤣🤣🤣🤣 Naona upo na pacha wako Kwenye ligi nzito sijui mshindi atakuwa Nani?
Wazimu sasaSasa wa kwako huwa nani anaenda nao kwa akili?😁
SawaSitoi aiseee...kwa wauzaji? Hat 500. Sitoi....
🤣🤣🤣 You made my day😂😂😂Sasahiv siongei had mwanasheriawangu aje nitaharibu brandyangu 😂😂🤣
🤣🤣Furahi tu maisha yenyew mafupi haya🤣🤣🤣 You made my day