Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t kam wakufua kwako amepatkana wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
 
Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
 
😂😂😂 me huyu mwingine hapa nahisi ndio tushaachana. ni week ya nne hii inaenda hakuna anayemsemesha mwenzie.😀
 
Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t kam wakufua kwako amepatkana wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
Kimeumana
Screenshot_20220621-170517_1.jpg
 
😂😂😂 me huyu mwingine hapa nahisi ndio tushaachana. ni week ya nne hii inaenda hakuna anayemsemesha mwenzie.

😅😅😅😅 hivi unakuaga na Plan B ya kuzugazuga mkuu?
 
Ila wanaume wamebaki wachache yaani kijana unanuna nuna ovyo ukitegemea kubembelezwa na msamaha juu aiseee
 
Ila wanaume wamebaki wachache yaani kijana unanuna nuna ovyo ukitegemea kubembelezwa na msamaha juu aiseee
Eee kaka wew kaa ki roho ngumu hv hv utabembelezwa ukiwa hospital
 
Sasa kama unataka kujishushia point mtafute huyo demu 😀😀😀 siko hapa kupromote breakup !! Ila mwanangu kula buyu mpaka arudi au muachane !! Ng'ai ng'ai

NB:kama kuna muhuni humu anataka namba ya huyo manzi gonga like twende sawa😀😀
 
Back
Top Bottom