Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

Huu ndio ukweli wenyewe
 
Asante sana!
 
Madini haya mkuu
 
Yaani umemwambia ukweli kabisa.
 
Ila huyo mwanamke hana akili pamoja na kumuaibisha bado kajileta mfyuu zake
Labda kamwandalia tukio.
Wanawake tuna style za kulipiza kisasi ambazo hata kwenye biblia ya shetani hazipo.
 
That's my Glenn.
 
Mimi naona hata nikikugongea like tu haitoshi. Darasa zuri wasipoelewa basi tena.
 
Wakuonewa huruma hapo ni wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sisi wazoefu WA mapenzi tunajua nini kinafuata kwako kwenye ishu za mahusiano.

Kesho kutwa hapa utakuja kuwatukana Wanawake ni Mbwa,
Nipo nimekaa hapa
Nimeweka hapa hili jambo si kwa sababu natafuta huruma. Sina hata chembechembe za kudai huruma. Iko hivi, tushauriane kwa lengo la kujifunza. Uzoefu wa mapenzi na suala la mahusiano ya ndoa ni vitu viwili tofauti. Hata makahaba wana uzoefu katika mapenzi lakini mbona hawapo katika ndoa? suala gumu kabisa hapa JF baadhi yenu mnapenda kuwashusha watu mpaka kwenye level zenu kisha unoangea kutokea kwenye level yako. My conscience is clear Bro,,,changia mada kwa mawazo ya kujenga. Hizo hoja nyepesi sijui wenye akili sijui ukomavu wa akili sijui ubinafsi,,, ni bla bla tu za kupoteza muda. Click to the point objectively!
 
Nakuhakikishia huyo Mwanamke ukimuoa lazima atakuja kulipiza kisasi kwa aibu ulihompa.

Hata ningekuwa mimi lazima ningelipiza.
Kwanza aje aombe msamaha kwetu aniondolee aibu aliyonisababishia halafu sasa ni deal naye kimafia.

Hajui ni aibu kiasi gani kamsababishia huyo binti. Na mabinti tunavyosimangwaga mwanaume akiingia mitini..usipokuwa na roho ngumu unaweza kunywa sumu.
 

Wewe ndio umemshusha huyo Mchumba wako ambaye mnamuda mrefu mnafahamiana miaka nenda Rudi, unategemea humu Nani atakupandisha zaidi ya kukushusha kama ulivyofanya?

Umeweka Watu wachangie na hii ndio michango yenyewe.

Pointi wadau wameshazitoa kuwa umepuyanga,
Unapaswa usubiri ukomae Kiakili ndipo utajua wapi umekwama.

Mapenzi ndio yanaunda Ndoa. Hakuna Ndoa bila mapenzi. Ila mapenzi yanaweza kuwepo bila ya Ndoa.

Ili ndoa uimudu lazima mapenzi uyamudu.
Ndio maana nikakuambia bado haujakomaa Kiakili.

Kuhusu hao makahaba ni maamuzi Yao kuwa hivyo walivyo, ukahaba ni maamuzi sio Tabia, umalaya ndio Tabia
 
Kabisa mkuu
 
Mkuu
Nisikilize kwa makini.

Uliamua kutoa msaada kwa rafiki kwa ugumu alioupitia na ilipaswa ndiyo ukae nanmwenzako muyajenge lakini kitendo cha yeye kusema bora muachane ni wazi neno ndoa kwake ni STATUS na siyo mahusiano.

Ndugu katika Jf.
Nikiwa kama mwanamke ninayejua ni namna gani jamii inacheka wanawake pale mchumba anapotokomea kusipo julikana au maarufu kama kuingia mitini, kauli ya binti ya TUACHANE ilikuwa ni njia ya kum pressurize huyo mwanaume aachane na hizo plan za rafiki yake na astick kwenye original plan ya kwenda kumtolea hiyo mahari.

Kauli ya tuachane kwa wakati huo haikuwa inamaanisha tuachane ila ilitumika kama silaha ya mwisho ya kujaribu kumrudisha mwanaume kwenye akili zake.
 
Naheshimu sana michango yenu na napenda kuishia hapa. Kwangu mimi, kuwajali watu wengine walio katika shida ambazo ninazimudu ni ibada kwangu. Ndoa ikishindikana leo, itafanyika kesho. Kama si kwa huyu basi ni kwa mtu mwingine. Sina shaka! huyu mahusiano yetu hayatakuwepo tena. Nimeyavunja rasmi this morning. Nitajipa nafasi, si kwa lengo la kukua maana nimekua na akili imekomaa haswa. Imani yangu ni kwamba nitakutana na mtu mwenye mtazamo ule ninaoutaka, ikitokea hajapatikana wala hakuna shida. Ninaishi na nitaishi kwa kuwajalii wengine.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kusaidia Watu bila Akili nako ni upunguani.

Ndio maana Manzoni nikakuambia wewe bado haujakua Kiakili, ndio maana hata hujui maana ya Familia.
Familia ndio kitu cha Kwanza Kwa mwanaume na Mwanamke mwenye utimamu wa Akili.
Huwezi sema unasaidia wengine ATI Kwa kisingizio cha ibada huku ukivunja ahadi na Binti uliyekaa naye kwenye mahusiano muda mrefu.

Unajiangalia wewe pekeako Kwa sababu wewe ni mbinafsi.
Hauangalii ni muda gani umempotezea Binti WA watu tena Bora yeye angekuwa amekukosea Ila wewe ndio umemkosea,
Yeye kakasirika ndio maana akakumaind lakini Kwa vile wewe unakiburi hukutaka kujishusha na kuomba Radhi.

Ninyi ndio wale wanaume wa humu JF ambao mnapenda muonekano Kwa nje ni Wema Kwa kuwajali watu wa nje(marafiki ikiwemo wa JF) Kwa kujifanya mnamichango ya kistaarabu kumbe ndani ni Mbwa mwitu.
Si unaona, huku unajifanya mstaarabu Sana unapotoa comments zako lakini unayoyafanya Huko kwenye Maisha halisi mfano Kwa hiyo Mchumba wako ni ushenzi uliopitiliza.

Hata kama utaamua ku-move on muombe Msamaha hiyo Mrembo wa Watu, ili uendelee na Maisha yako Kwa Amani.
Kumpotezea mtoto wa Watu muda na kupeana ahadi na viapo kisha kuvivunja Kwa sababu za kijinga ni usaliti wa Hali ya juu.
Na Dawa ya wasaliti inafahamika,

Ni hayo tuu.
 
Na kwann mtu ku force ndoa.
Ujue mwanaume ukisham force tu baya mambo ya mahali sijui kwenda ukweni hata kaama huna nia mbaya lazima utamfanya asanuke na kujiuliza !!!
 
Kweli wanaume mmekuwa adimu..na kumdhalilisha kote huko bado karudi[emoji849][emoji849][emoji848]

Tena anaomba na msamaha mammmae
 
Kweli wanaume mmekuwa adimu..na kumdhalilisha kote huko bado karudi[emoji849][emoji849][emoji848]

Tena anaomba na msamaha mammmae
Afanye nini na vijana wengi wanataka kula bure na watunzwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…