Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

Pampasi za kutoka wapi? ni busara sana kutokufikiria mambo ya namna hiyo. Una uhakika kwamba nikiumwa yeye ndo atakua msaada? let's be objective,,,
Wewe ungekuwa objective unge promise kupeleka mahari kwa watu na wanajiandaa Kisha unaghaili kirahisi hivyo?

We tulia nakwambia, sasa hivi endelea kujiona mjanja tu

Unauliza pampers za kutoka wapi, hujui zinakotoka pampers?
 
Asee hata hili la kuombea ushauri?

Haya omba msamaha na waeleze kwanini ulimsaidia rafiki yako badala ya kutoa mahari.
 
Kajamaa kakaingia mitini bila taarifa, still kanajiona kapo sahihi 😅😅
 
Kweli huyo dada akili hana
 
Nimezungumzia CLEAR VISION AS A MAN

Nikimaanisha kua Mwanaume kama Mwanaume lazima usimamie juu ya ulichokipanga na kukiratibu bila kujali kuna changamoto gani imeingia kati

Issue za kusaidiana zipo tu na hazijawahi kuisha

Kwa mwanaume aina yako maendeleo utayasikia kwenye bomba, unaonyesha hauna muelekeo

Mwanaume kamili hayumbishwi na changamoto za ghafla anasimamia mipango yake kama alivyoiratibu

Wewe hutapiga hatua yoyote kubwa ya maendeleo trust me ukijaribu kunyanyuka ikitokea changamoto unapangua mpango wako ghafla

Kwa mwenendo huo utakua ni mtu wa kurudi nyuma daily
 
Kifo Cha mende ni kwaajili ya wanawake sio wanaume, ikitokea bahati mbaya inakuwa ni mbwembwe tu za kunogesha mtanange
 
Sikufahamu lakini labda nikuambie kwamba namshukuru Mungu kwa hatua ndogo niliyopiga katika maisha. Si wa kubezwa!
 
Tatizo si kuamua kutumia mahari kumsaidia rafiki. Huenda alikuwa anakufa huyo rafiki, tatizo ni taratibu alizotumia. Unampa binti taarifa kihuni huni tu. Bora hata alichofanya Fei Yanga kuliko huyu.
 
Usijali. Nenda kwa nia ya kuwaelewesha kilichotokea. Kwanza big up sana. Ulichukulia shida ya rafiki kama dharula kuliko swala binafsi ambalo lingesubiri. Mwenzi wako mbinafsi na inawezekana aliwajaza sumu kwao ndio maana anataka uombe msamaha. Waeleze how it went
 
Duh,hii comment nimeielewa vizuri sana mkuu
 
Sio sawa. Hii uchumba tu masharti kama yote, kwenye ndoa itakuwaje??
 
Ahahaha sawa mkuu...ila hatua hizo sijui ni zipi unaziongelea..nimeoa at 24 mkuu...hatua zingine sina haja ya kukueleza
 
Duh,hii comment nimeielewa vizuri sana mkuu
Mkuu kuna tabia wanaume tumeanza kuchukulia kuwa kuoa ni kama vile kutoa msaada kwa binti au wazazi wake.

Kama humtaki binti mpe ukweli kuwa hauko tayari kumuoa awe huru.

Hii danadana na sababu uchwara ni dharau.
Kila mwanaume ni mkwe mtarajiwa.

Hakuna mwanaume atapenda kuona binti anachukuliwa poa...jitu linamtumia binti yako kwa ulaghai wa kuoa mwishowe unaanza ooh silipi mahari nampa msaada rafiki.

Katika mahusiano ya ndoa hakuna wazazi wenye msaada kimaisha kama wazazi wa binti hasa wazazi waelewa.
Hawatapenda kuona binti amekwama bila kutoa msaada.
Tubadilishe mitazamo ya kikoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…