Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

Usijali. Nenda kwa nia ya kuwaelewesha kilichotokea. Kwanza big up sana. Ulichukulia shida ya rafiki kama dharula kuliko swala binafsi ambalo lingesubiri. Mwenzi wako mbinafsi na inawezekana aliwajaza sumu kwao ndio maana anataka uombe msamaha. Waeleze how it went
Asante sana mkuu
 
Nimezungumzia CLEAR VISION AS A MAN

Nikimaanisha kua Mwanaume kama Mwanaume lazima usimamie juu ya ulichokipanga na kukiratibu bila kujali kuna changamoto gani imeingia kati

Issue za kusaidiana zipo tu na hazijawahi kuisha

Kwa mwanaume aina yako maendeleo utayasikia kwenye bomba, unaonyesha hauna muelekeo

Mwanaume kamili hayumbishwi na changamoto za ghafla anasimamia mipango yake kama alivyoiratibu

Wewe hutapiga hatua yoyote kubwa ya maendeleo trust me ukijaribu kunyanyuka ikitokea changamoto unapangua mpango wako ghafla

Kwa mwenendo huo utakua ni mtu wa kurudi nyuma daily
Fact mkuu
 
Usijali. Nenda kwa nia ya kuwaelewesha kilichotokea. Kwanza big up sana. Ulichukulia shida ya rafiki kama dharula kuliko swala binafsi ambalo lingesubiri. Mwenzi wako mbinafsi na inawezekana aliwajaza sumu kwao ndio maana anataka uombe msamaha. Waeleze how it went
Patriot3
HIvi unaona ni sahihi kuahidi na kutoa tarehe ya kulipa mahari...halafu upate dharura na usipileke taarifa kuwa hamtakuja kwasababu mmepata dharura?
Hii ni sawa?
Alipaswa aombe ahirisho.
Lakini jamaa badala ya kuomba kusogeza mbele alikuja kuanzusha uzi jf kama vile ufahari flani...tusifagilie ujinga huu wakuu wangu...tuwe wanyenyekevu dunia ni katili sana ikianza kukulipa kisasi...wanaita karma
 
Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za kimaisha. Nilipomjulisha kwamba nitaahirisha kutoa mahari, hakukubali na aliniomba tuachane. Nilikubali na kumtakia kila la kheri lakini pia nikamsihi kwamba kama atafikiria uamzi wa tofauti basi nitakuwa tayari kumpokea. Jana alinipigia simu na kuomba msamaha. Alijutia sana, hatimae, nikaamua kumsamehe. Jambo gumu ambalo bado linaniumiza kichwa, ni yeye kutaka mimi niwaombe ndugu zake na wazazi wake msamahaakwa kutokupeleka mahari kwa muda tuliopanga.! Kabla sijatoa maamzi, naombeni ushauri. Hili jambo ni sawa?
.......kuna mawili katika hili, 1.inawezekana mtu akataka kutoa mahari lakini bado hajui nafasi ya mke/mpenzi/familia katika maisha ya mwanaume halisi, lakini pia hujui nafasi ya rafiki katika maisha yake 2.kuna watu pia wanapoingia katika mahusiano tayari wanaonekana kujiona wao ni wathamani zaidi kuliko mwenzie wake(hali ya kujisikia nakujiona bora na kwamba unaweza fanya maamuzi yoyote hatakama ni ya kumuumiza au kumdhalilisha mwenzio, wazee wa kujiona wako sahihi ktk kila jambo)........Sasa basi kama mtu ana tabia mbili hizo naona bado hajawa matured enough to be in marriage, watu wadizaini hii huingia kwenye ndoa then soon wanaanza kusema kataa ndoa......
Ushauri: omba msamaha vizuri kabisa ukiwa na mahari mkononi plus faini....bibie yupo sahihi kabisa kuweka masharti coz kashagundua kuwa anadeal na mtu ambaye pengine dishi limecheza tayari.....
 
Patriot3
HIvi unaona ni sahihi kuahidi na kutoa tarehe ya kulipa mahari...halafu upate dharura na usipileke taarifa kuwa hamtakuja kwasababu mmepata dharura?
Hii ni sawa?
Alipaswa aombe ahirisho.
Lakini jamaa badala ya kuomba kusegeza mbele alikuja kuanzusha uzi jf kama vile ufahari flani...tusifagilie ujinga huu wakuu wangu...tuwe wanyenyekevu dunia ni katili sana ikianza kukulipa kisasi...wanaita karma
Sijui historicity ya haya mambo. Comment yako ipo based kwa alichokiandika leo
 
Patriot3
HIvi unaona ni sahihi kuahidi na kutoa tarehe ya kulipa mahari...halafu upate dharura na usipileke taarifa kuwa hamtakuja kwasababu mmepata dharura?
Hii ni sawa?
Alipaswa aombe ahirisho.
Lakini jamaa badala ya kuomba kusegeza mbele alikuja kuanzusha uzi jf kama vile ufahari flani...tusifagilie ujinga huu wakuu wangu...tuwe wanyenyekevu dunia ni katili sana ikianza kukulipa kisasi...wanaita karma
Nina imani kwamba unaelewa kuwa dharura inatolewa kama wote mmeridhia. Ningetoaje wazo la dharura kwa wazazi wake kama yeye baada ya kumueleza ali-opt kuvunja mahusiano na hakutaka tena mahusiano?
 
.......kuna mawili katika hili, 1.inawezekana mtu akataka kutoa mahari lakini bado hajui nafasi ya mke/mpenzi/familia katika maisha ya mwanaume halisi, lakini pia hujui nafasi ya rafiki katika maisha yake 2.kuna watu pia wanapoingia katika mahusiano tayari wanaonekana kujiona wao ni wathamani zaidi kuliko mwenzie wake(hali ya kujisikia nakujiona bora na kwamba unaweza fanya maamuzi yoyote hatakama ni ya kumuumiza au kumdhalilisha mwenzio, wazee wa kujiona wako sahihi ktk kila jambo)........Sasa basi kama mtu ana tabia mbili hizo naona bado hajawa matured enough to be in marriage, watu wadizaini hii huingia kwenye ndoa then soon wanaanza kusema kataa ndoa......
Ushauri: omba msamaha vizuri kabisa ukiwa na mahari mkononi plus faini....bibie yupo sahihi kabisa kuweka masharti coz kashagundua kuwa anadeal na mtu ambaye pengine dishi limecheza tayari.....
Mkuu, nipo vema sana upstairs. Haya mambo tushauriane kwa staha tu. Hakuna alie mkamilifu.
 
Wewe hutapiga hatua yoyote kubwa ya maendeleo trust me ukijaribu kunyanyuka ikitokea changamoto unapangua mpango wako ghafla

Kwa mwenendo huo utakua ni mtu wa kurudi nyuma daily
Ni kweli jamaa amezingua sana. Ila kumnenea mtu mambo mabaya, tena kwa kuapa/msisitizo sio jambo zuri mkuu. Tunaishi, tunakosea, tunajifunza, tunarekebisha, and the cycle repeat itself.
 
Nina imani kwamba unaelewa kuwa dharura inatolewa kama wote mmeridhia. Ningetoaje wazo la dharura kwa wazazi wake kama yeye baada ya kumueleza ali-opt kuvunja mahusiano na hakutaka tena mahusiano?
Ni taarifa iliyomshtusha hakutegemea...
Ulivaa viatu vyake juu ya hiyo taarifa?

Hata kutamka kuvunja sio alikusudia kutamka bali maneno yalimtoka tu
 
Ila wewe mbona ishu yako ndogo ..mimi kuna mwana yeye sio tu aliahirisha ila hata manzi ake hakumwambia..Kikeni huko wamejiandaaa kishenzi mavyakula na vilaji kama unavyojua wachaga!.. e bwana eeh!!. Mshkaji hakutokea kabisaaaaaa wala manzi ake hakumwambia kitu yan ilikua bonge la soo na aibu kwa dem..ndugu jamaa walishajaa kupokea mahali na kumwona jamaa ila ikawa tee!!.

Wanawake sas wasivyo na akil wakat mwingine, manzi aliporud dar wakaendelea kuishi na mshkaji..sijui waliyamaliza vp? 😂😂😂
Aisee wanawake sijui hua tunafeli wapi jamani dah,
 
Ni kweli jamaa amezingua sana. Ila kumnenea mtu mambo mabaya, tena kwa kuapa/msisitizo sio jambo zuri mkuu. Tunaishi, tunakosea, tunajifunza, tunarekebisha, and the cycle repeat itself.
Hatua ninazipiga tu na nimeshazipiga. Jambo kubwa ni kushauriana kwa utaratibu mzuri.
 
Ila wewe mbona ishu yako ndogo ..mimi kuna mwana yeye sio tu aliahirisha ila hata manzi ake hakumwambia..Kikeni huko wamejiandaaa kishenzi mavyakula na vilaji kama unavyojua wachaga!.. e bwana eeh!!. Mshkaji hakutokea kabisaaaaaa wala manzi ake hakumwambia kitu yan ilikua bonge la soo na aibu kwa dem..ndugu jamaa walishajaa kupokea mahali na kumwona jamaa ila ikawa tee!!.

Wanawake sas wasivyo na akil wakat mwingine, manzi aliporud dar wakaendelea kuishi na mshkaji..sijui waliyamaliza vp? 😂😂😂
Mwanamke hajielewi. Wanawake kama hawa wasioijua thamani yao ndo hata ukioa ni hasara tu. Kama haioni thamani ya wazee wake anaruhusu wadharaulike thamani ya mume ataiona vipi.
 
Back
Top Bottom