Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

Asante sana mkuu
 
Fact mkuu
 
Patriot3
HIvi unaona ni sahihi kuahidi na kutoa tarehe ya kulipa mahari...halafu upate dharura na usipileke taarifa kuwa hamtakuja kwasababu mmepata dharura?
Hii ni sawa?
Alipaswa aombe ahirisho.
Lakini jamaa badala ya kuomba kusogeza mbele alikuja kuanzusha uzi jf kama vile ufahari flani...tusifagilie ujinga huu wakuu wangu...tuwe wanyenyekevu dunia ni katili sana ikianza kukulipa kisasi...wanaita karma
 
.......kuna mawili katika hili, 1.inawezekana mtu akataka kutoa mahari lakini bado hajui nafasi ya mke/mpenzi/familia katika maisha ya mwanaume halisi, lakini pia hujui nafasi ya rafiki katika maisha yake 2.kuna watu pia wanapoingia katika mahusiano tayari wanaonekana kujiona wao ni wathamani zaidi kuliko mwenzie wake(hali ya kujisikia nakujiona bora na kwamba unaweza fanya maamuzi yoyote hatakama ni ya kumuumiza au kumdhalilisha mwenzio, wazee wa kujiona wako sahihi ktk kila jambo)........Sasa basi kama mtu ana tabia mbili hizo naona bado hajawa matured enough to be in marriage, watu wadizaini hii huingia kwenye ndoa then soon wanaanza kusema kataa ndoa......
Ushauri: omba msamaha vizuri kabisa ukiwa na mahari mkononi plus faini....bibie yupo sahihi kabisa kuweka masharti coz kashagundua kuwa anadeal na mtu ambaye pengine dishi limecheza tayari.....
 
Sijui historicity ya haya mambo. Comment yako ipo based kwa alichokiandika leo
 
Nina imani kwamba unaelewa kuwa dharura inatolewa kama wote mmeridhia. Ningetoaje wazo la dharura kwa wazazi wake kama yeye baada ya kumueleza ali-opt kuvunja mahusiano na hakutaka tena mahusiano?
 
Mkuu, nipo vema sana upstairs. Haya mambo tushauriane kwa staha tu. Hakuna alie mkamilifu.
 
Wewe hutapiga hatua yoyote kubwa ya maendeleo trust me ukijaribu kunyanyuka ikitokea changamoto unapangua mpango wako ghafla

Kwa mwenendo huo utakua ni mtu wa kurudi nyuma daily
Ni kweli jamaa amezingua sana. Ila kumnenea mtu mambo mabaya, tena kwa kuapa/msisitizo sio jambo zuri mkuu. Tunaishi, tunakosea, tunajifunza, tunarekebisha, and the cycle repeat itself.
 
Nina imani kwamba unaelewa kuwa dharura inatolewa kama wote mmeridhia. Ningetoaje wazo la dharura kwa wazazi wake kama yeye baada ya kumueleza ali-opt kuvunja mahusiano na hakutaka tena mahusiano?
Ni taarifa iliyomshtusha hakutegemea...
Ulivaa viatu vyake juu ya hiyo taarifa?

Hata kutamka kuvunja sio alikusudia kutamka bali maneno yalimtoka tu
 
Aisee wanawake sijui hua tunafeli wapi jamani dah,
 
Ni kweli jamaa amezingua sana. Ila kumnenea mtu mambo mabaya, tena kwa kuapa/msisitizo sio jambo zuri mkuu. Tunaishi, tunakosea, tunajifunza, tunarekebisha, and the cycle repeat itself.
Hatua ninazipiga tu na nimeshazipiga. Jambo kubwa ni kushauriana kwa utaratibu mzuri.
 
Mwanamke hajielewi. Wanawake kama hawa wasioijua thamani yao ndo hata ukioa ni hasara tu. Kama haioni thamani ya wazee wake anaruhusu wadharaulike thamani ya mume ataiona vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…