Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block,, nisijibu wala kupokea sms zake?
Leo umekuwa Mwanamke?😅
 
Mtakuja mrogwe Mfe bure
Ulikubali kula vya watu acha uliwe
 
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block,, nisijibu wala kupokea sms zake?
Huna akili,utajutia ujinga wako,shenzi na hayawani mkubwa
 
Miaka yote yupo hivyo
 
Wewe Sexless kifo kina kuhusu na moto wa jehanamu ndio halali yako, Ulipenda dezo kwa kupenda mambo mazuri ilihali mwanzo ulijua jamaa yupo kiporipori...Sasa kwa nini usimtengeneze akapata huo muonekano na tabia uzipendazo kuliko kutafuta shida nyingine...
 
Back
Top Bottom