Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwahi kusema sexless ni kampuni...watu mob
coz she's Sexless or may be she's HermaphroditeMara uoe mara uolewe nyie 😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mitego ukiingia huwezi chomoka, kuna watu hawaachiki omba sana asiwe huyo mwamba.
na hivi ana pesa ndio ume bugi meen,akiamua kukuganda atakuoa tu na hivi unamuogopa hujui unamuachaje ndio tamu hiyoo...
Ki ufupi pambana na mu arobaini wako, ila wewe nawe kajinga kwani sura unaungaga kwenye mboga?
au sura yake unaiwekaga kwenye handbag yako?
Njoo kwangu sasa HB matata halafu nakunywesha uji wa sembe day n night tuone kama hujamkumbuka MPOKI wako.
Najua tunafurahishana hapa ila huna uwezo wa kumuacha kisa sura mbaya,sema mengine. Ndio ushafika hiyo.
Mrs Mpoki.
Jiandae kumemenwaJamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.
The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.
Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.
Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
mpe mku nduJamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.
The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.
Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.
Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
How and why?Jiandae kumemenwa
Na jehanam hataingia, na dhambi zake zote zitafutwa.Jamaa hata akikuuwa kwa Sababu ya Upuuzi kama huwo ulioandika Mahakama itamuachia huru.
Hata shangazi yangu aliniambia maneno kama haya nilipokuwa namkataa huyu mporimpori wakati ananichumbia.Nani alikwambia kwenye ndoa mnakula sura na picha kwenye mitandao unaangalia life partner sio mitandao,wengine hamtumiagi akili mitandao italipa bills,watoto wapate malezi mazuri na waliende shule nzuri,kweli akili ni nywele Kila mtu na zake