Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Unakosea sana.
Utayari wa kuoa na kuwa na uwezo sio vigezo pekee vya kuoa.
Kama ana uwezo kwanini asifuate utaratibu?

Mbona mnawachukulia poa watoto wa watu?.

Nchi hii wanawake wakiamka, wakasoma, wakawa na uwezo wa kujihudumia wanaume wengi watateseka sana.

Mnachukulia kuoa kama vile ni msaada kwa wanawake...kuoa ni hitaji la kila upande na vigezo na masharti yazingatiwe.

Ukute unasura ngumu kama Wasira eti kisa una vimali ukubaliwe tu?

Au unakuja kama unaenda eti akukubali tu ilimradi una vichenji?
Acha aoeleww na wa ndoto zake kwa afya ya familia yake.
Mac Alpho
 
Milioni 3 zote hizi afu ukute mwanamke mwenye hata bikra Hana, bikra yenyewe labda ilitolewa kwa chips na soda tu😂
 
Kaka angu alioa kwa 7 m, endelea kushangaa hiyo 3
Una weza nunulia hata ukoo mzima nyumba na rolles royce's still wasiwe na ndoa ya kudumu....

Ushaur wangu Kwa wanawake ukimpata anae kupenda ukampenda ukamchunguza na kujiridhisha.....
Mlolongo usiwe mrefu sana kias Cha kukatisha Tamaa.....

Kitu kikubwa ni upendo silaha ya mapenzi ni kupendana Kwa dhati.....
 
Hapa nakuunga mkono
 
Wanawake kwa matarumbeta utawaweza ?
 
Milion 3?. Wanawake bhana.
Sasa hapo utakuta hata huyo mwanamke hiyo hela hajawahi kuipata na wala hana.
Kuna jamaa hivi hivi siku ya kutoa mahari, mwanaume akajinyonga.
Tafuta wa uwezo wako,milioni tatu ni hela ndogo binafsi sikuolewa kwa mahari ndogo hivo
Makorokolo ndo angalau 2M weka na mahari sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…