Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
19424652_img20250722wa0019_jpegcd3cc6dc6daae49ae39ebb12ca1b9c2e.jpeg
 
Safi sana ndo ajue mashemeji hawako kinyonge na atamheshimu mpaka anaingia kaburini maana hiyo memory haifutiki akilini mwake. Kunaye boss wangu alinisimulia walifanya hivo kwa shemeji yao walimshushia kipigo shemeji yao (ni wapare walikaa Mara )afu wakamchukua kabisa dada yao mpaka leo hajawai kurudi kwake
 
Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.

Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.

Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
 
Alikuwa akimpiga au uliingilia tu ugomvi bila sababu
 
Kwa kabila letu huwa tunaaswa sana kutokwenda hovyo nyumbani kwa dada.. kulala ndo hairuhusiwi kabisa. Siku ya harusi ya dada huwa baba hahudhurii badala yake huwakilishwa. Baba mwisho wake sendoff. Ila kama imetokea dadako anapigwa mbele yako kama unaweza PIGA TU HUYO KIMA. DAMU NZITO KULIKO USHEMEJI.
 
Safi kabisa kaka aongeze kibano katika Karne hii kumpiga mwanamke ni ushamba. Hata ukimfumania kamwe usigombane nae. Jiulize swali moja je wewe ukifanya makosa kama yake utakuwa tayari kupigwa? Mwanamke hapigwi kwa fimbo bali kwa upande wa kanga
 
Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.

Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.

Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Ulitimiza wajibu wako.
 
Yaan mpaka sanamu ajengewe sio kupiga watoto wa watu
NB: kuna watu wanajibu unakuta katoka piga mke
 
Back
Top Bottom