Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.

Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.

Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Hiyo huwa inatokea na isikupe shida
 
Ishu km hii ni ngumu kutoa majibu sahihi ni bora kukaa kmy na kuangaria matokeo ya nn kitakuja baada ya tukio
 
Ukweli ananiheshimu mno. Kuna siku Tena akayakanyaga wakaletana kutatuliwa ugomvi wao nyumbani nilipotia mguu tu mzee akanitumia kwenye kikao.

Uzuri Babu alikuwepo akasema kwann unamfukuza asisikilize ya dada yake? Akasema Babu kaa hapo.

Baada ya muda nikaota hoja shemeji Kwa kuwa umekiri umekosea adhabu yetu kama familia uchapwe simbo 7

Mzee wangu nikiwa Bado naongea akanitwangwa bakora yake huku akinitimua kwenye kikao.
wewe umeshindikana mkuu... lakini wewe ni kaka mzuri
 
Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.

Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.

Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Mkuu huyo shemeji yako alikua mtu mzima?
 
Binafsi kwanza huyo shemeji lazima alipe kwa gharama kubwa(sio pesa)

Halafu wewe kaka mtu unaendaje kuingilia ugomvi kwa ndoa ya dada yako?
Hakuna Sheria,hakuna wakubwa,hakuna viongozi wa dini?

Wanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.

Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.

Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Pole mkuu ulikosea sana
 
Back
Top Bottom