Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

Safi sana, kama sio kaka wa hivi basi navunja undugu🤣🤣🤣
 
Yaaan kivyovyote vile shemeji hagusi mwili wangu, vikao vya ukoo watakaa sana.
Mbaya iwe nimemzidi pesa mamaeee.
 
Kama ni mimi huyo kaka yake (aka shemeji) nitamuua na huyo dada yake (waifu) sitamtia machoni tena. Yaani uje ujaribu kunipigia nyumbani kwangu? Oooh hell no! Labda siyo memba wa ukoo wa akina Mwamwindi dadeki!
 
Kama ni mimi huyo kaka yake (aka shemeji) nitamuua na huyo dada yake (waifu) sitamtia machoni tena. Yaani uje ujaribu kunipigia nyumbani kwangu? Oooh hell no! Labda siyo memba wa ukoo wa Mwambulukutu dadeki!
Hakwenda moja. Wanne.
 
Imagine unakuta shemeji ni Erythrocyte anampiga dada wa Lucas Mwashambwa mbele ya mwashambwa?? Lazima kisago kitembee..
Hapo lazima ukoo mzima waje wakae nyumbani wapate somo maana shemeji atapaata tabù sanaa.
Alafu itokee ninapesa kuliko yeye?kwaza nampiga vibaya mnoo, hata kwa panga Kisha namfungulia kesi ya uvamizi ngumbani kwangu.

😂😂😂
 
Hakwenda moja. Wanne.
Wote wanne ningewaua. Halafu ningesema ni self defence maana wao wamenivamia nyumbani kwangu na kutaka kuniua. Wote wangekula shaba chap; na dada yao angeondoka mwenyewe tu...for good!
 
Hiyo lazima ninoe panga nikafanye comeback napiga hadi Baba mkwe
 
Na watoto wamechukuliwa😂😂
Watoto wapo kwa mama yangu atupelekisye Mbalizi huko.
Ili vita ipiganwe vizuri,Walivyo watundu mama atapiga simu moja tu basi kuna kabinti hapa kamwalimu kawege kanawafundisha wewe sasa watoto watakaaga na nani na mimi naendaga shamba kuvuna mahage yangu😂
 
🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom