Mjomba ni mama𤣠ila mama sio mjombaJamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
View attachment 3415029
Mjomba ni mama𤣠ila mama sio mjombaJamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
View attachment 3415029
Kweli aise umenyooka sanaMkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.
Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.
Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Halafu sasa usikute dadayo ndo anawazuia wasije kwako. Bila shaka hutakaa uingilie mapenzi ya watuMkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.
Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.
Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Hili suala limekaa POA...!Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
View attachment 3415029
Hio Vita isiishe, na yeye awaite ndugu zake ili waje kuwashughulikia Mashemeji...Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
View attachment 3415029
umemsaidia kuweka heshima mkuu huyo shemeji yako hawezi tena kumpiga na atakuheshimu na kukuogopa. Anajua mke wake ana kaka anayempenda. Safi sana. Kila mwanamke awe na kaka wa kujivunia dunia imejaa uonevu sanaMkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.
Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.
Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Na Mimi nakuolea bibi mdogo upigane na mwansmke mwenzioSi anajua kupigana? apigane sasa na mwanaume mwenzie
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.
Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.
Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
š¤£š¤£Kumpiga shemeji ni umama we unajua kakosana nn na dada yako je kama kamnyima mbunye utaimpa wewe?
š¤£š¤£utaoaje kwa akina Lucas Mwashambwa na unaona kabisa haziwatoshi?
Ukweli ananiheshimu mno. Kuna siku Tena akayakanyaga wakaletana kutatuliwa ugomvi wao nyumbani nilipotia mguu tu mzee akanitumia kwenye kikao.umemsaidia kuweka heshima mkuu huyo shemeji yako hawezi tena kumpiga na atakuheshimu na kukuogopa. Anajua mke wake ana kaka anayempenda. Safi sana. Kila mwanamke awe na kaka wa kujivunia dunia imejaa uonevu sana
Siwezi kabisa kabisa dada yeye Hana noma Kwa Nje na kwangu Huwa anakuja mara Kwa mara ni Moja ya madada zangu nilionao karibu zaidi kwenye familia yetu.Halafu sasa usikute dadayo ndo anawazuia wasije kwako. Bila shaka hutakaa uingilie mapenzi ya watu