Hiyo huwa inatokea na isikupe shidaMkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.
Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.
Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
wewe umeshindikana mkuu... lakini wewe ni kaka mzuriUkweli ananiheshimu mno. Kuna siku Tena akayakanyaga wakaletana kutatuliwa ugomvi wao nyumbani nilipotia mguu tu mzee akanitumia kwenye kikao.
Uzuri Babu alikuwepo akasema kwann unamfukuza asisikilize ya dada yake? Akasema Babu kaa hapo.
Baada ya muda nikaota hoja shemeji Kwa kuwa umekiri umekosea adhabu yetu kama familia uchapwe simbo 7
Mzee wangu nikiwa Bado naongea akanitwangwa bakora yake huku akinitimua kwenye kikao.
Mkuu huyo shemeji yako alikua mtu mzima?Mkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.
Hii fanya kama dada yako amedhamiria kwa nia moja ndoa ife vinginevyo wewe ndo utakuwa kwenye mawazo kama mimi.
Watu watakusifu sawa lkn bado moyoni unajutia ukiona dada yako yupo pale na hana wasiwasi
Ananizidi miaka23.Mkuu huyo shemeji yako alikua mtu mzima?
Pole mkuu ulikosea sanaMkuu hata mimi niwahi mpiga shemeji yangu nikiwa form 4 tu na akatii lkn watoto wake hawakupendezwa na kitendo hicho hadi leo hawaji kwangu.