America is fast becoming a third World country

You are an intelligent mind,thankyou.Infact mimi naiona America as a failed state already,mifumo yote inakuwa dismantled.I feel sorry for Americans.
Bwana Mathanzua leo naomba nikiri kuwa kati ya watu nilikuwa nawaona wa hovyo humu ndani ni pamoja na wewe,hasa kwenye hizi mada zako.

Lakini nikajipa muda wa kutafakari madai yako na kile kinachoendelea duniani nikabaini kwa kiasi kikubwa upo sahihi.
Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa hizi chanjo? AU kelele vitambulisho vya utaifa? simu kwa vidole? Ndoa za jinsia na ushoga kuwa eti ni moja ya haki!! kubadili jinsia nk.
Nikabaini lazima kuna kitu na si kingine bali ni hiyo NWO
 
Okay,nashukuru kwamba nimekusaidia.Tatizo la Watanzania ni kwamba sio wasomaji wazuri na we believe the Goverment is our friend,sio.Mtu mwingine cannot think on your behalf,never,hasa the NWO cabal,ambao ndio wanaoitawala dunia.Hawa ni vibaka na wauaji Kama wengine tu,tena wauaji wabaya.This means kuwaamini kwa lolote,iwe ni kwenye chanjo au chochote kile ni uzuzu wa hali ya juu sana.

Nashukuru nimekutoa kwenye uzuzu,ngoja nikazane nitoe wengine,ila kazi ni ngumu sana kwa kuwa watu wamepofushwa sana.
 
Marekani inawezwa kupitwa na taifa kama China kwa miaka kadhaa ijayo ila haitakuwa hata second world country achilia mbali third world country kwa miaka 50 na zaidi ijayo.
 
Na ni wabishi kwelikweli,jitihada njema
 
Marekani inawezwa kupitwa na taifa kama China kwa miaka kadhaa ijayo ila haitakuwa hata second world country achilia mbali third world country kwa miaka 50 na zaidi ijayo.
Ni sahihi mkuu marekani anaweza aka fall Kama ambavyo zili fall empire zengine lakin hawezi kuwa second au third world country. Pia ku fall kwa Marekani kunahitajika kazi nzito kwa anaye mkimbiza maana sio kazi rahisi
 
Hivi unajua ni kwanini U.S.A amepeleka viwanda China ? NA ni mwaka gani hasa U.S.A alianza kupeleka viwanda China ? Na kwanini U.S.A hakupeleka Viwanda china kabla ya huo mwaka? Unafahamu kuhusu sera ya China ya reopening to the outside world ilianza mwaka gani? Unafahamu economic reform ya china ilianza mwaka gani ? Unadhani ni marekani pekee ndiye aliyewekeza viwanda China? Unafahamu ni viwanda vingapi vya marekani vipo India, Vietnam ? Unadhani ni yupi aliye muuitaji ziadi mwenzake kwenye swala la uwekezaji wa kiviwanda kwa huo mwaka ni china au ni U.S.A?
 
Dah! Siku hizi uki log out JF kwa muda kisha ukirejea, unakutana na vitu hilarious kwelikweli!
 
Usisite kuendelea kumuelewesha.
 
Huyu kijana amekuwa kama mwehu ukisoma nyuzi zake zote. Kila kitu duniani kwake yeye a akitizama kwa jicho la nadharia tete. Anasikitisha sana.
Nakuona Jasusi Uchwara unanyapia nyapia....
 
Hu
Huyo jamaa bilaa shaka atakua anaswali sala 5
 
Usinikumbushe ushenzi huo niliofundishwa shuleni,Mimi Sasa nime erevuka sio yule.Kama wewe umebaki kwenye ujinga ule ule, sio mimi.Zile tunaziita "enslavement protocols."
Elimu ya madrasa imekuharibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…