Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

Mabinafsi kweli asee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mstaafu hata afanyeje hiyo hela itatumika na itakata tu. Kuna laana fulani wastaafu lazima wapitie ya kupata hela nyingi na mwisho kuishia kuwa tegemezi kwa watoto wao na mwisho kufa wakiwa hawana hata sh, 100. Yeye ni nani aruke hizo stages
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka kingese

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Haahaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji1787]

Inauma sana lkn!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaan Ale lak4 kwa mwezi...mfano bi mkubwa ana miaka 60 anakaa miaka 8 tu anadanja..wanakuja rith wajinga wajinga.....ni upumbavu
Miaka 8 tu? Mbona umemchukulia poa sana kwanini asitoboe 80?
Bi mkubwa anachotaka nu fao lake limtunze for the rest of her life, mimi naona hii ni option nzuri zaidi
 
Awekeze kwenye hati fungani za serikali za miaka 20 au miaka 25 awe anakula interest ya 15% au zaid kwa mwaka.

Ambayo ndiyo almost hiyo 700k monthly anayoitaka lakini atapewa kwa mara moja. Makampuni ya simu hayana hii huduma kwao atakuwa ameinvest kwenye business so returns ni kutegemea na faida au hasara iliyopatikana hakuna guarantee wakati huku kwenye hati fungani (Bonds & TBs) malipo ni guaranteed hakuna risk.
 
Aende benki yoyote ya posta iliyo karibu nea,wanatoa 13% kwa uwekezaji ktk fixed deposit kwa mwaka,staff mwenzangu kastaafu nwaka jana kaweka huko mil100 kila mwezi analamba 1,083,000/= na pensheni ya 700k hivyo kuvuta jumla ya 1783K kwa mwezi,kwa hyo anaishi kama bado ana ajira vile.Hivyo kwa yeye akiweka angalau hata mil 60 hakosi pesa ya kuweza kumsogeza vizuri tu ktk maisha yake.

Huyo ndugu yako asirogwe kununua treka au gari za biashara,ni liabilities hizo
 
Nimepitia huu uzi nimegundua mama pamoja na wew hamna elimu ya fedha yaani financial knowledge, pia nimepitia comments za wengi humu ila ninakubaliana na wanaokushauri uende kununua hati fungani bank kuu kawni hizo zina uhakika na risk yake ni ndogo au naweza kusema haipo. mfano hiyo 80m akinunua bond za miaka 20 atapata 80*15.49% = 12,392,000 kwa mwaka ambayo kwa wastan ni milioni moja kwa mwezi ataishi kwa aman na kwa sabab ana biashara zinamuingizia kipato akichanganya na pension atakayokuwa anapewa hata pata shida kabisa. Hiki mim ndio ninachofanya wanangu wanasoma shule ninayotaka pamoja na kwamba nafanya kazi ya kawaida sana ukitaka ushauri namna ya kufika huko ntakupa bure.
 
Bank savings account atapata riba ya 8% law mwaka ni si zaidi ya hapo ambayo kwa mwaka atalipwa 6.4m sawa na 535ktsh. Option nzuri anunue government securities ambayo ataweza pata hadi 15.9... %kwa mwaka netting twice as much yani 12.72m kwa mwaka sawa na 1.06mtsh kwa mwezi na wanakupa every six month baada ya uwekezaji. Tembelea tawi la stockbroker yoyte posta uweze saidiwa
 
*Anunue nyumba mbili,moja iwe guest house na nyingine aipangishe aidha awe na guest mbili mbona atapata mpaka 3mil.(chakuzingatia ni locations tu) na hapo sishauri labda kwa malipo KIDOGO...
Sio shauri zuri, sehem ambayo atapata nyumba ya 40m sijui wapi kwa dar hii. Labda mkoa . Biashara ya nyumba ya kupangua inahitaji ujuzi si wa kukurupuka . Hasa kwa hela za kustaafia utamlaza na njaa. Ni heri na guest location iwe ya maana. Yeye mzee sasahivi hahitaji biashara ya kusimamia bali anahitaji sehemu tulivu ya kuhifadhi fedha take huku ikikua au kujipatia kipato ndani ya mda fulani. Hisa si busara kwa Tanzania mana soko la hisa ni bovu na lina challenges nyingi. Hati fungani au bank ndo sehemu nzuri ila kwangu mm hati fungani ndo chagua zuri. Rate kubwa na kila miezi sita unapata gawio lako na pia unaweza kuuza ukitaka na baada ya mda kusiha unarudishiwa fedhha yako yote yote
 
Hamna benki itakupa zaidi ya 8% kwa mwaka
 
Yes hiki kitu ndo alichofanya baba angu mkubwa. Uko sahihi kwa maelezo yako.
 
Huyo mstaafu hata afanyeje hiyo hela itatumika na itakata tu. Kuna laana fulani wastaafu lazima wapitie ya kupata hela nyingi na mwisho kuishia kuwa tegemezi kwa watoto wao na mwisho kufa wakiwa hawana hata sh, 100. Yeye ni nani aruke hizo stages
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie huwa nashangaa sana, sijui huwa wanapatwa na nn yaan
 
Mimi nimeelewa kitu kimoja. Huyo mama hawezi kuthibiti matumizi yake hivyo anataka kuweka pesa sehemu kisha apewe 700,000 taratibu mpaka siku ikiisha yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wee khaaah
 
92.5M anashindwa kuwapa watoto wake wa kuzaa hata laki moja kila mtu? Huyo mama ni kiboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…