Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Kwa Makonda mtanyooka

Rais ajaye? Kwa akili zipi alizonazo kuchwani? Kwa afya gani aliyonayo? Au unajifanya hujamuona alivyopauka usoni? Kitu kimamtafuna taratibu tu
 
Makonda angekuwa hata mjegeje wake unafanya kazi tungesema anakudinya ila ndio hivyo una vinasaba vyakuahobokwa wanaume ...
 
Sio yeye huyu humuoni alivyo badilika tu? Amedhoofu sana!
 
britanicca njoo uone huku Jamaa yako anakuvua nguo hadharani huku kwamba Wewe umewalisha matangopori wadau sasa wanauguza matumbo yako km mkeka basi huu umechanika
Inawezekana aliteleza kidogo, mbona mnachukulia serious hivyo...

Labda ramla iligoma
 
Yani mtu ajifiche mwenyewe, atengeneze kiki mwenyewe kuwa kapewa sumu halafu wewe na korodani zako mbili uje hapa kumwaga sifa kabisa😃😃😃😃.

Nyie ndio mnaopiga watu wanaoigiza uchawi kwenye movie kwa kudhani ni wachawi kweli.
 
Inasemekana ccm walimnywesha kweli sumu lakini wakampeleka Nairobi Kwa Siri kuondolewa sumu na akapona.CCM ni wakatili sana.Tushukuru tu amepona lakini ccm wabaya sana
 
CCM mafundi sana wanakulisha sumu kisha wanaamua kukutoa sumu halafu wanakwambia ukirudia mbwe mbwe zako tukikuwekea hatutatoa na ukitoka hapa kakae kimyaaa
 
Inasemekana ccm walimnywesha kweli sumu lakini wakampeleka Nairobi Kwa Siri kuondolewa sumu na akapona.CCM ni wakatili sana.Tushukuru tu amepona lakini ccm wabaya sana
Kwahiyo waliompa sumu ndo hao hao waliompeleka Nairobi kutibiwa? Maajabu haya...
Nia ya kumpa sumu ilikuwa ni nini mkuu?
 
Makonda amekonda sana...amebaki na tako tu, Mungu azidi kumpambania mbele ya watesi wake
 
Wewe unamuona mzima pale alipo? Na akijakusema yeye mwenyewe kuwa aliwekewa sumu kweli utasemaje? Na kwani mtu akilishwa sumu lazima afe? JPM enzi za uhai wake aliwahi kusema alilishwa sumu lakini alinusurika, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa aliwahi kueleza umma kuwa Mzee Mangula alilishwa sumu lakini Mzee Mangula mpaka leo yupo anadunda.
 
Lisemwalo lipo na kama halipo?
 
hivi ni kweli alikuwa amepewa sumu au alikuwa likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…