Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake.
---

1718210170224.png

Kweli kabisa mechi ilikuwa ya vurugu kubwa. Penati ilitakiwa irudiwe kupigwa, mchezaji wa Biashara aliingia kabisa ndani ya box. Sio goli halali.
Ni kweli ila Ile tension kwa refa wa kawaida aisee unaweza kugawa kadi kama njugu maana kaoga matusi yote kasukumwa sana kajitahidi kuwa mvumilivu kwenye maamuzi
Ila Tabora warudi kujipanga championship hawako aggressive kabisa wanachezewa mpira sana
 
Angekataa lile goli sijui ingekuaje hapo uwanjani maana sio Kwa tension Ile asee
 
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake
Kajitahidi kivipi?

Penalti imeokolewa aalafu amasema goli! Aibu kwake na kwa TFF.

Tabora sijui wamewakosea nini TFF.

Mechi ya kwanza ya playoff nayo walionea.

ikimpendeza mama aende na usafiri wenye ulinzi na udhabiti wa kutosha kwani usalama kwa viongozi wa chama na serikali ni jambo lisilotaka unafuu
 
Kajitahidi kivipi?

Penalti imeokolewa aalafu amasema goli! Aibu kwake na kwa TFF.

Tabora sijui wamewakosea nini TFF.

Mechi ya kwanza ya playoff nayo walionea.

View attachment 3015682
Acha ubishi chief penaty Imeingia wavuni ni vile nyavu zimemtatiza refa Hadi pale alipokuja rekebishwa na kibendera wake maana yeye ndo alikua angle nzuri yakuona tukio Zima
 
Kweli kabisa mechi ilikuwa ya vurugu kubwa. Penati ilitakiwa irudiwe kupigwa, mchezaji wa Biashara aliingia kabisa ndani ya box. Sio goli halali.
Hili hata Mimi nililiona na jamaa angu tulokuwa tunaangalia naye.Ila refa kaharibu hii mechi
 
Back
Top Bottom