Unajua humu siku hizi great thinkers wamevamiws, mtu anakuja kukutukana badala ya kujibu hoja!
Unachokisema mm nimeanza kukiona kimeanza kutokea tangu polepole,
JPM camp walipoona polepole kapigwa pin wakajibu kwa silaha nyingine, hii inayotrend sasa, kiufupi hawawezi kukubali kushindwa wakielewa kabisa walikuwa wanamalengo makubwa na JPM halafu vibaka fulani wanakuja kublock,l
Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu limefikia sasa. Wote tunakubaliana kuwa kila jambo huwa na mwisho wake na historia inajengwa na...
Chama kimeshatekwa na wahuni hakuna atakae kikomboa tena kwa sasa kwani wale wazee waliokuwa na nguvu hizo wamejichokea kwa sasa na wengine tayari wameenda zao. Wahuni wakiongozwa na boys 2 men ni very organized walijua kuwa wanaowabana ni wazee ila watakuja kuphase out tu siku moja; wao...
Wasalam, Kuna msemo maarufu usemao, " asiejua aendako hawezi potea njia". Msemo huu sasa unasadifu vema siasa za nchi yetu Tanzania; kuna kizazi kilichozaliwa hasa baada na wakati vyama vingi vinaruhusiwa nchini, hawa mpaka wanapata akili wamekuta vuruga na marumbano ya kisiasa na imewanyima...