Amini usiamini kuanzia Bunge lijalo hapatatosha

Kitu ambacho hujui siku zote ccm hulinda maslahi yake kwa kukutaa na kuandaana na kumaliza tofauti zao kisha wakaingia jimboni kama kitu kimoja
USSR
He hii ni afya kwa mustakabari wa taifa au matumbo ya watu wachache?,hii ndio maana leo hii tunaona wabunge haohao waliopitisha muswada flani bungeni nao wakija mtaani wanaanza kulalamikia huohuo muswada walioupitisha.
 
Ccm peke yake ndo inasiasa Kama za nchibya malekani,wanaweza kuvurugana weee, lkn dk moja tu inatosha kuwarudisha wakawa na lengo moja!!
acha uongo marekani hakuna siasa za kuendekeza matumbo over people's interests
 
we unafikiri Hilo ni la kujivunia kumlinda raisi ili kuwe na amani kwa gharama ya umasikini wa wananchi
 
SUBIRI AFUFUKE MAGUFULI MWEHU WEWE. We kila mchango wako jukwaani ni KUMKASHIFU Rais Samia, kisa DINI YAKE?? Au UZANZIBAR wake au UWANAMKE wake??? Mbona MAGUFULI ALIKUWA MSUKUMA ASIYESHAURIKA NA WATU TULIVUMILIA? acha chuki boya wewe.
Kosa moja halihalalishi kola la pili, tumeelewana?
 
Kosa moja halihalalishi kola la pili, tumeelewana?
Una chuki za kike mzee, mwanume kuwa na chuki kiwango hiko ni hatari kwa makalio yako. Fanya kazi, chuki hazisaidii, hata hivyo Mama Samia tayari ameshakuwa Rais hakuna wa Kumshtaki, akitoka atalipwa 80% ya mshahara wa Rais hadi anakufa nk.
Wewe ni MWANAMKE na ukute umevaa Dela bila chupi.
 
Sasa unashindwa kutoa hoja unaleta vihoja, kwani wanawake Sio binadamu? Jadili hoja maana unajidhalilisha tu
 
Oya kashachomesha jamaa yako huko au kuna mwengine zaidi yake?
 
"Nimekosa mimi, nimekosa mimi nimekosa sana"
 
Kitu ambacho hujui siku zote ccm hulinda maslahi yake kwa kukutaa na kuandaana na kumaliza tofauti zao kisha wakaingia jimboni kama kitu kimoja
USSR
Hujamwelewa kabisa mtoa mada....... Anaamanisha kutakuwa na vita kubwa kati ya wanaoelekea kupoteza na wale wanaojiona bado wana kete ndani ya CCM ...
 
Hii ni thread ya kijinga sana. Huwajui wanasiasa wewe. Yaani mtu aache kuwa chawa wa mtu aliye Ikulu instead akawe chawa wa marehemu aliyezikwa Chato? Sukuma Gang mnaumwa Post Trauma Stress Disorder baada ya kufiwa na Dikteta wenu
 
Baada ya bunge la muhula huu, Ndugai alishasema anaachana na siasa...

Sioni haswa sababu ya Job kuanza kuleta fujo isiyo na maslahi yoyote kwake...
Umejiona sasa kama ulikuwa mjinga?
 
Tayari ameshaomba msamaha kwahiyo meno yake yameoza guafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…