Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Tuna mtaka Mungu Lkn uongo ni mwingi sana mnatuletea mpaka Mungu anashangaa

Wewe mtu anaumwa magonjwa 100+ kweli hata wewe haushangai? Hauoni anatupiga kamba hapa live live
Magonjwa 100 ,labda kashindwa kuiwasilisha tu ,labda aliumwa mara kwa mara au magonjwa yanayojirudia
 
Jaribu kuwa serious, kwani mimi nimekuambia magonjwa yalitokea na yakapotea pasipo kutarajia? Nimekuambia baada ya kukemea kwa Jina la Yesu magonjwa mengine yalitoweka saa ileile. Jaribu kuwa serious, mtu kiwete tangu tumboni anaweza kupona tu bila nguvu yoyote.
 
You are completely entitled to your opinions that are not supported by evidences.

But the moment you spread those opinions as fact, Knowing clearly there is no evidence for supporting them, You are a Liar.

And if you spread them as facts knowing clearly they are not supported by evidences, logic and proofs. You are both a liar, perjurer, deceiver, falsifier, fraudster and a spinner of yarns.
 
Ukitaka niamini huku mtaani kwetu kuna kiwete bado mdogo twende akaombewe apone.. msitutengenezee script bnaaaaaa
 
 
😃😃😃
Kwahiyo hayo magonjwa kwa kulitaja jina tu yakapotea? Aisee hebu kuwa serious basi. Nimekwambia kuna mambo usiyoyatarajia yanaweza yakakutokea na yakaondoka tu pasipo kuelewa yameondokaje.

Huyo kulitaja jina tu na magonjwa kuondoka aisee sio kweli. Huyo YESU mwenyewe alikuwa ni binadamu tu maana alikuwa anakula, analala, anakasirika sasa inakuwaje Wewe kulitaja tu jina lake magonjwa 100+ yakapona?
 
Magonjwa 100 ,labda kashindwa kuiwasilisha tu ,labda aliumwa mara kwa mara au magonjwa yanayojirudia
Muwe mnatembelea hata wagonjwa hospitali muwaulize wanaumwa nini. Kama uliumwa ugonjwa mmoja tu tangu uzaliwe, fahamu kuna wengine wanaumwa ugonjwa zaidi ya mmoja(multimorbidity).
 
Wewe huyo huyo kaswende, wewe huyo gono, wewe huyo UTI, wewe huyo huyo malaria, wewe huyo ulcers wewe huyo huyo kpindu pindu🤣Dah kanyaga achia twende
 
Muwe mnatembelea hata wagonjwa hospitali muwaulize wanaumwa nini. Kama uliumwa ugonjwa mmoja tu tangu uzaliwe, fahamu kuna wengine wanaumwa ugonjwa zaidi ya mmoja(multimorbidity).
Wew muongo bhnaaaa usitudanganye sisi watu wazima acha uongo,

uongo dhambi hakuna uongo mzuri wala mbya wote ni uongo na ni dhambi
 
Ili upate hela? Fanya kazi halali utapata pesa
Lengo kuu la kuanzisha hiyo huduma ni kuhakikisha kwanza tunaziponya roho za watu kupitia huu upako uliokuwa nao. Kama tutawaponya watu, halafu wakaamua kutoa sadaka, hakuna shida.

Au wewe mwenzangu hupendi hela!
 
Wewe ndio umesema umepona magonjwa 100, ila majina ya magonjwa niwaulize WHO, kwani uliwapa WHO orodha ya majina ya hayo magonjwa uliyoumwa?

Cha ajabu kuna wajinga utawaokota humu. Dunia ina mambo ya ajabu sana, hasa Afrika.
 
Wewe ndio umesema umepona magonjwa 100, ila majina ya magonjwa niwaulize WHO, kwani uliwapa WHO orodha ya majina ya hayo magonjwa uliyoumwa?

Cha ajabu kuna wajinga utawaokota humu. Dunia ina mambo ya ajabu sana, hasa Afrika.
Hivi wewe ukiumwa macho ukaenda kwa daktari huwa unamwambia medical name ya kile unachoumwa? Si huwa unasema tu kwamba unasikia maumivu katika macho au machozi yanatoka bila sababu au macho yanawasha au yamekuwa mekundu nk. Mimi nimekuambia nimeugua magonjwa ya macho, pua, masikio, kifua, kichwa, miguu, vidole nk. Na yamekuwa yakija kwa symptoms tofauti. Kwa hiyo ulitaka nikutajie medical name ya magonjwa yaliyoshambulia kila kiungo nilichotaja? Kwa taarifa yako kuna magonjwa zaidi ya 100 yanayoshambulia macho peke yake:
  • Acute Angle-Closure Glaucoma
  • Amblyopia
  • Anterior Uveitis
  • Astigmatism
  • Blepharitis
  • Cataract
  • Chalazion
  • Conjunctivitis
  • Corneal Abrasion
  • Corneal Dystrophy
  • Diabetic Retinopathy
  • Dry Eye Syndrome
  • Ectropion
  • Endophthalmitis
  • Entropion
  • Fuchs' Dystrophy
  • Glaucoma
  • Herpes Simplex Keratitis
  • Hypertensive Retinopathy
  • Hyphema
  • Keratoconus
  • Keratitis
  • Lazy Eye
  • Macular Degeneration
  • Macular Edema
  • Neovascular Glaucoma
  • Ocular Melanoma
  • Ocular Migraine
  • Ocular Histoplasmosis Syndrome
  • Orbital Cellulitis
  • Optic Neuritis
  • Papilledema
  • Pinguecula
  • Pterygium
  • Presbyopia
  • Retinal Detachment
  • Retinal Vein Occlusion
  • Retinitis Pigmentosa
  • Sjögren’s Syndrome
  • Strabismus
  • Subconjunctival Hemorrhage
  • Toxoplasmosis
  • Trachoma
  • Uveitis
  • Vitreous Hemorrhage
  • Wet Macular Degeneration
  • Xanthelasma
  • Herpes Zoster Ophthalmicus
  • Asthenopia
  • Blepharospasm
  • Bacterial Conjunctivitis
  • Choroiditis
  • Color Blindness
  • Conjunctival Nevus
  • Corneal Infection
  • Corneal Ulcer
  • Cystoid Macular Edema
  • Diabetic Macular Edema
  • Foveal Dystrophy
  • Glaucomatous Optic Neuropathy
  • Hereditary Retinopathy
  • Hypertensive Retinal Changes
  • Iridocyclitis
  • Iridocorneal Endothelial Syndrome
  • Leber's Hereditary Optic Neuropathy
  • Macular Hole
  • Macular Pucker
  • Morning Glory Syndrome
  • Myopia
  • Nystagmus
  • Ocular Toxocariasis
  • Ocular Cicatricial Pemphigoid
  • Optic Atrophy
  • Orbital Fracture
  • Papillitis
  • Retinal Artery Occlusion
  • Retinal Vein Occlusion
  • Retinopathy of Prematurity
  • Scotoma
  • Scleritis
  • Secondary Glaucoma
  • Sensory Nystagmus
  • Simple Stye
  • Snowflake Cataract
  • Stargardt Disease
  • Stevens-Johnson Syndrome
  • Subretinal Hemorrhage
  • Sympathetic Ophthalmia
  • Synechiae
  • Thyroid Eye Disease
  • Transient Visual Obscurations
  • Traumatic Brain Injury-Related Vision Problems
  • Uveal Melanoma
  • Vitritis
  • Vitamin A Deficiency
  • Visual Snow Syndrome
  • Vitreoretinal Traction
  • Wolfram Syndrome
  • Xerophthalmia
  • YAG Laser Capsulotomy Complications
Hata ningekutajia majina hayo, kwakuwa huamini nguvu ya Jina la Yesu bado ungesema leta uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…