Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya
Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya
Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya
Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi
baadhi ya viongozi wa kisiasa wanabakwa na kuvuliwa nguo nakupigwa picha lakini hakuna wa kuhoji
Maisha mitaani nimagumu mabinti zetu wanajiuza ili kunusulu familia zao lakini hakuna wa kuhoji
Watanzania wame elemewa na mizigo ya Kodi inayo tokana na mikopo isiyo wasaidia chochote Kama wanainchi lakini hakuna wa kuhoji
Tuna madini mito mkubwa maziwa makubwa lakini hakuna wa kuzungumzia hayo bungeni ili kui inua inchi yetu kiuchumi
Walimu, doctors,na wafa ya kazi wengine mishahara yao haikidhi mahitaji yao lakini hakuna wa kuhoji
Bungeni wanaongelea mpila vijana mitaani ndiyo usiseme wazee wako busy na kubeti kina Mama wanacheza Bonanza wapate pesa ya mboga
Yote haya Yana tokana na bongo za watanzania wengi kutawaliwa na mpila
Ninani atasimama kulitetea taifa?
Ninani ata simama kuisimamia serikali?
Ninani atasimama kuwaza Mambo ya msingi ya taifa badara ya mpila?
Ninani atawaamsha watanzania kutoka kwenye usingizi mzito wa mpila?
Mtanza mtu mzima timu yake ikifungwa Ana changanyikiwa, timu yake ikifungwa nyumbani amani hakuna"
Timu yake ikifungwa Hana kingine Cha kuwaza Cha maendeleo zaidi ya kuzungumzia uzembe ulio fanyika mpaka timu kufungwa"
Kwanini tusi tumie bongo zetu kujadili nikwanini tume balikiwa Kila kitu na bado tuna kopa?
Kwanini tusi tumie bongo zetu kuchambua Nani na Nani wanafaa kukaa kwenye cheo gani serikalini badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie bongo zetu kufikilia nikiongozi gani anatufanya tuna shindwa kusonga mbele Kama taifa badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie mda wetu vijiweni kuzungumzia nijinsi gani tuna weza kuudhibiti ufisadi au mafisadi wanao tufanya tunaishi maisha magumu badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie mda wetu vijiweni kujadili nijinsi gani tuka biliane na utekaji badara ya mpila?
Amka ewe mama was kitanzania
Amka ewe binti wa kitanzania
Amka ewe kijana wa kitanzania
Amka ewe baba wa kitanzania
Taifa lina kutegemea wewe ili lisonge mbele
Taifa linakutegemea wewe uwakosoe na kuwa tiisha viongozi mafisadi
Taifa linakutegemea wewe uupinge utekaji na mauwaji ya watanzania
Huo mpila unakuzubaisha na wanaonkutawala wanalijua Hilo
Huo mpila unaku kuzubaisha usijadili Kodi zako zinazo ibwa na wanao kuibia wanalijua Hilo
Huo mpila unakuzubaisha na wanaonkuibia rasilimali za taifa lako wanalijua Hilo
Ona sasa.
Binti zako wanajiuza wewe una waza mpila
Elimu yako inachaka chuliwa wewe una waza mpila
Unauziwa na kupewa dawa fake unakunywa unaugua upo kimya wewe una waza simba na yanga
Mpila Niki Levi tumia kiasi ewe mtanzania
Mpila niusingizi hauishi utamu amka katafute ewe mtanzania
Mpila ni mwanamke mzuli huwezi mmiliki Kama huna kitu ewe mtanzania
Tumia mpila Kama buludani baada ya kazi sio Kama sehemu ya maisha yako kiasi kwamba usipo zingatia..
Utakufa,utadharaulika,utachekwa,utaaibika
Amka mtanzania wanao kuta Wala na kuku dhulumu na kukuibia wanatumia mpila Kama njia ya kuku fanya usahau maovu wanayo kufanyia
Mwisho nikuulize
Je! Usha wai jiuliza kwanini Mama yako huwa zawadia wale wachezaji wa mpila?
Kama hujui anzia hapo uta vumbua mengi
Mungu walehemu vijana wa kitanzania