Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

Nikisena hivyo nitakuwa na kosea labda niseme wa focus kwenye maisha maisha Yana weza kuwapa.mwanga kwamba ninini kina wafanya wasifikie malengo

Na ume zungumzia kuhusu Wana wake hapo sja kuelewa kidogo una maana gani je hili Jambo Lina wahusu Wana wake pekee? Na kwanini?
watajaa wanawake hapa kwasababu hawaangalii mpira
 
🤔🤔🤔🤔🤔
Screenshot_20241126_193935_Chrome.png
 
Maisha yakiwa magumu ni kwako mzee pambana na Hali yako ugumu wako wa maisha usifanye sisi tusienjoy soka eti kisa Kuna mjinga mmoja anasema watanzania hatuna habari na nchi fanya maisha Yako hujaja na mtu duniani hapa acha shobo
 
Mie niwekee hata 1 milion afu niambie nikutajie wachezaji wa 3 wa yanga au simba hakika hiyo pesa nitakuwa nimeikosa, yaan had najishangaa mbona mie sio mshabiki na siwez kuangalia mpira kabisa
 
Yani umeongea ukweli mtupu.Sisi watanzania ni kama mazuzu aisee..mpira wa Yanga na Simba ndio kama unatumuka kutuzubaisha tusijadili ya msingi hawa wapuuzi sijui walitufanya nn na hizi akili zetu.Tunatawaliwa kiboya
Vijana waki Tanzania tuliletwa duniani tukiwa na lengo moja tu kichwani mwetu. Kushabikia Simba na Yanga

Maendeleo hayatuhusu kabisa tushawaaachia serikali na viongozi ishu za maendeleo.
Hatuko kama vijana wa nchi nyingine
Ukitaka tuingie #Road zuia simba na Yanga

View attachment 316237

Mkuu, kwanini nyinyi hamfanyi hayo yasiyofanywa na wapenda soccer
Tuna fanya lakini inahitajika nguvu zaidi kwasababu nimsiba wa wote
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom