Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

KUNA TATIZO SEHEMU, HALIJATAMBULIKA, WATU WA MPIRA WALIHAMASISHA MPIRA, WATU EAKAUPENDA MPIRA, BILA KUWAAMBIA WAACHANE NA MAMBO MENGINE.
.HIVYO NYIE WATU WA SIASA WAHAMASISHE WATU KUIJUA SIASA, ILI WAIPENDE, MIMI NAAMINI HATA HIZO NCHI ZA MFANO KISIASA MICHEZO INA NAFASI YAKE.
.
 
Kweli 'mipila' inaharibu sana. Watu wanaacha kuzungumzia matatizo ya r na l wako bize na 'mamipila
Wapenda mpira ndiyo haohao wapenda Siasa na wapenda Siasa ndiyo haohao wapenda mpira.
.sema tu watu wa Siasa Tanzania angalia mlipokosea.
.Silvio berlusconi, Alikua mtu wa michezo na mwana siasa.
.George Weah, alikua mwanamichezo na mwana Siasa.
.Hata hapa kwetu nimeshuhudia baadhi ya wana siasa wakijitamba kwa mapenzi na timu wanazozipenda.
 
kuna upumbav mwingi sana saivi unaendelezwa na wasanii mazerobrainer, mambo haya
1.Myuziki
2.Mipira
3.Betting
4.Uchawa
 
Back
Top Bottom