Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hata leo wanajaribu kupandisha nyuzi nyinginza Yanga sema watu wamezipuuza tu.Unaonekana una ubongo mzito Sana ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata leo wanajaribu kupandisha nyuzi nyinginza Yanga sema watu wamezipuuza tu.Unaonekana una ubongo mzito Sana ndugu yangu
Ewaa na watu Wana sahau kabisaaKila tukio la wizi au udhalimu fulani basi wanapanga Match ya Simba na Yanga.
Fatilia utaona
Njoo nikulee hapa nyumbani Kuna chumba utalala na wadogo zakoUmeona akili Yako ilivyo ya Mavi kwahiyo kama betting inaniingizia hela nisibet nije nilieliea na na njaa kama wewe hapa mda huu fanya kazi mbuzi we hujaja na mtu duniani punguza ushauri kwenye maisha ya watu
Sawa ila yanga kufungwa jana imeniuma sana.Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya
Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya
Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya
Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi
baadhi ya viongozi wa kisiasa wanabakwa na kuvuliwa nguo nakupigwa picha lakini hakuna wa kuhoji
Maisha mitaani nimagumu mabinti zetu wanajiuza ili kunusulu familia zao lakini hakuna wa kuhoji
Watanzania wame elemewa na mizigo ya Kodi inayo tokana na mikopo isiyo wasaidia chochote Kama wanainchi lakini hakuna wa kuhoji
Tuna madini mito mkubwa maziwa makubwa lakini hakuna wa kuzungumzia hayo bungeni ili kui inua inchi yetu kiuchumi
Walimu, doctors,na wafa ya kazi wengine mishahara yao haikidhi mahitaji yao lakini hakuna wa kuhoji
Bungeni wanaongelea mpila vijana mitaani ndiyo usiseme wazee wako busy na kubeti kina Mama wanacheza Bonanza wapate pesa ya mboga
Yote haya Yana tokana na bongo za watanzania wengi kutawaliwa na mpila
Ninani atasimama kulitetea taifa?
Ninani ata simama kuisimamia serikali?
Ninani atasimama kuwaza Mambo ya msingi ya taifa badara ya mpila?
Ninani atawaamsha watanzania kutoka kwenye usingizi mzito wa mpila?
Mtanza mtu mzima timu yake ikifungwa Ana changanyikiwa, timu yake ikifungwa nyumbani amani hakuna"
Timu yake ikifungwa Hana kingine Cha kuwaza Cha maendeleo zaidi ya kuzungumzia uzembe ulio fanyika mpaka timu kufungwa"
Kwanini tusi tumie bongo zetu kujadili nikwanini tume balikiwa Kila kitu na bado tuna kopa?
Kwanini tusi tumie bongo zetu kuchambua Nani na Nani wanafaa kukaa kwenye cheo gani serikalini badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie bongo zetu kufikilia nikiongozi gani anatufanya tuna shindwa kusonga mbele Kama taifa badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie mda wetu vijiweni kuzungumzia nijinsi gani tuna weza kuudhibiti ufisadi au mafisadi wanao tufanya tunaishi maisha magumu badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie mda wetu vijiweni kujadili nijinsi gani tuka biliane na utekaji badara ya mpila?
Amka ewe mama was kitanzania
Amka ewe binti wa kitanzania
Amka ewe kijana wa kitanzania
Amka ewe baba wa kitanzania
Taifa lina kutegemea wewe ili lisonge mbele
Taifa linakutegemea wewe uwakosoe na kuwa tiisha viongozi mafisadi
Taifa linakutegemea wewe uupinge utekaji na mauwaji ya watanzania
Huo mpila unakuzubaisha na wanaonkutawala wanalijua Hilo
Huo mpila unaku kuzubaisha usijadili Kodi zako zinazo ibwa na wanao kuibia wanalijua Hilo
Huo mpila unakuzubaisha na wanaonkuibia rasilimali za taifa lako wanalijua Hilo
Ona sasa.
Binti zako wanajiuza wewe una waza mpila
Elimu yako inachaka chuliwa wewe una waza mpila
Unauziwa na kupewa dawa fake unakunywa unaugua upo kimya wewe una waza simba na yanga
Mpila Niki Levi tumia kiasi ewe mtanzania
Mpila niusingizi hauishi utamu amka katafute ewe mtanzania
Mpila ni mwanamke mzuli huwezi mmiliki Kama huna kitu ewe mtanzania
Tumia mpila Kama buludani baada ya kazi sio Kama sehemu ya maisha yako kiasi kwamba usipo zingatia..
Utakufa,utadharaulika,utachekwa,utaaibika
Amka mtanzania wanao kuta Wala na kuku dhulumu na kukuibia wanatumia mpila Kama njia ya kuku fanya usahau maovu wanayo kufanyia
Mwisho nikuulize
Je! Usha wai jiuliza kwanini Mama yako huwa zawadia wale wachezaji wa mpila?
Kama hujui anzia hapo uta vumbua mengi
Mungu walehemu vijana wa kitanzania
Jaribu kuilea kwanza akili Yako naona haipo sawa unakurupuka kuandika utumbo humu kumpangia watu Cha kufanya hivi unaakili timamu kweli njaa zako hasira unaleta Kwa watu🤣🤣🤣🤣Njoo nikulee hapa nyumbani Kuna chumba utalala na wadogo zako
pengine nta fanikiwa kupunguza utumbo ulio jaa kichwani kwako
Mwenye njaa hulopoka hovyoJaribu kuilea kwanza akili Yako naona haipo sawa unakurupuka kuandika utumbo humu kumpangia watu Cha kufanya hivi unaakili timamu kweli njaa zako hasira unaleta Kwa watu
Rudi kwenye Uzi wako ndio utajigundua wee hamnazo na njaa inakusumbua eti kabisa unaandika gazeti kuongelea mpira kwa watu ambao hawajawahi kukuomba hata mia na wanaishi maisha Yao hawana shobo na wewe fanya kazi mzee utalaumu Kila mtu mpaka mtoto anaezaliwa Leo utaona kama kakusababishia umasikini wako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwenye njaa hulopoka hovyo
Mwenye hasira hutukana hovyo
Asiye timamu humtukana hata asiye mjua
Hizo sfa zote niza kwako ndugu yangu
Yeah! Yaani kiingereza tumekwisha kuizika na Kiswahili kinazidi kututupa mkono. Naona miaka mwili inayokuja tutakuwa hatuna lugha inayoeleweka.Naona kiswahili hapa TANZANIA, kinaelekea kututupa mkono, hasa kwenye idara hii
L - R
Hivi wewe chizi freshRudi kwenye Uzi wako ndio utajigundua wee hamnazo na njaa inakusumbua eti kabisa unaandika gazeti kuongelea mpira kwa watu ambao hawajawahi kukuomba hata mia na wanaishi maisha Yao hawana shobo na wewe fanya kazi mzee utalaumu Kila mtu mpaka mtoto anaezaliwa Leo utaona kama kakusababishia umasikini wako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pata ujumbe kwnz hilo sio muhimu Sana hiyo ndio akili ndogo tunayosemeaMpira sio MPILA
Kaka hilo jinga achana nalo halijui hata matumizi sahihi ya smart phoneHivi wewe chizi fresh
kuna sehemu nimeandika kwamba dishi Kama wewe nilazima usome na ku comment kwenyye huu uzi wangu?
Unasema nna njaa Inani sumbua Mimi na wewe tunajuana? au Nisha wai kukuomba pesa ya kula?
Acha mazoea ya kishamba af acha masiara kwenye Mambo ya msingi hapa kichaa wewe
Mimi nazungumzia watu ambao wapo addicted na Mopira kiasi kwamba mpaka Wana sahau majukumu yao ya msingi
je nikosa kufanya hivyo?
Je kwauzoefu wako kwenye mpira hakuna watu Kama hao? Au gongo za bila kula zinakuzingua?
Sja andika hii kitu kwa kubahatisha.
kunakijana wangu juzi nime mpa shilingi milioni 21600000 akalipie mahindi gunia 300 sehemu
Cha ajabu kachomoa Kama 50000 na kwenda kubetia mpila wa jana mkulima akanipigia pesa ime feri Kama 50000
Namuuliza ananiambia mkulima atakuwa kaiba.
baabda ya kumbana Sana na kutishia kumpiga chini kikazi ndipo akakubali kwamba alichomoa
Baada ya kumhoji Sana alifanyia Nini ikaonekana alienda kubetia mpila wa jana na kaliwa baada ya yanga kupigwa. Sasa huo si ubwege na undezi?
Unadhani Kuna vijana wangapi wa tz walio halibikiwa akili zao Kama huyu kijana wangu wa kazi?
Af anatokea kichaa mmoja Kama wewe na visungura vyako kichwani unaniambia nikaekimya how?
Kwahiyo ninacho kuzungumzia nikitu ambacho nimeishi nacho na naishi nacho Fu... you scoffer.,,
Mkuu jitahidi kusummarize madaKuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya
Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya
Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya
Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi
baadhi ya viongozi wa kisiasa wanabakwa na kuvuliwa nguo nakupigwa picha lakini hakuna wa kuhoji
Maisha mitaani nimagumu mabinti zetu wanajiuza ili kunusulu familia zao lakini hakuna wa kuhoji
Watanzania wame elemewa na mizigo ya Kodi inayo tokana na mikopo isiyo wasaidia chochote Kama wanainchi lakini hakuna wa kuhoji
Tuna madini mito mkubwa maziwa makubwa lakini hakuna wa kuzungumzia hayo bungeni ili kui inua inchi yetu kiuchumi
Walimu, doctors,na wafa ya kazi wengine mishahara yao haikidhi mahitaji yao lakini hakuna wa kuhoji
Bungeni wanaongelea mpila vijana mitaani ndiyo usiseme wazee wako busy na kubeti kina Mama wanacheza Bonanza wapate pesa ya mboga
Yote haya Yana tokana na bongo za watanzania wengi kutawaliwa na mpila
Ninani atasimama kulitetea taifa?
Ninani ata simama kuisimamia serikali?
Ninani atasimama kuwaza Mambo ya msingi ya taifa badara ya mpila?
Ninani atawaamsha watanzania kutoka kwenye usingizi mzito wa mpila?
Mtanza mtu mzima timu yake ikifungwa Ana changanyikiwa, timu yake ikifungwa nyumbani amani hakuna"
Timu yake ikifungwa Hana kingine Cha kuwaza Cha maendeleo zaidi ya kuzungumzia uzembe ulio fanyika mpaka timu kufungwa"
Kwanini tusi tumie bongo zetu kujadili nikwanini tume balikiwa Kila kitu na bado tuna kopa?
Kwanini tusi tumie bongo zetu kuchambua Nani na Nani wanafaa kukaa kwenye cheo gani serikalini badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie bongo zetu kufikilia nikiongozi gani anatufanya tuna shindwa kusonga mbele Kama taifa badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie mda wetu vijiweni kuzungumzia nijinsi gani tuna weza kuudhibiti ufisadi au mafisadi wanao tufanya tunaishi maisha magumu badara ya mpila?
Kwanini tusi tumie mda wetu vijiweni kujadili nijinsi gani tuka biliane na utekaji badara ya mpila?
Amka ewe mama was kitanzania
Amka ewe binti wa kitanzania
Amka ewe kijana wa kitanzania
Amka ewe baba wa kitanzania
Taifa lina kutegemea wewe ili lisonge mbele
Taifa linakutegemea wewe uwakosoe na kuwa tiisha viongozi mafisadi
Taifa linakutegemea wewe uupinge utekaji na mauwaji ya watanzania
Huo mpila unakuzubaisha na wanaonkutawala wanalijua Hilo
Huo mpila unaku kuzubaisha usijadili Kodi zako zinazo ibwa na wanao kuibia wanalijua Hilo
Huo mpila unakuzubaisha na wanaonkuibia rasilimali za taifa lako wanalijua Hilo
Ona sasa.
Binti zako wanajiuza wewe una waza mpila
Elimu yako inachaka chuliwa wewe una waza mpila
Unauziwa na kupewa dawa fake unakunywa unaugua upo kimya wewe una waza simba na yanga
Mpila Niki Levi tumia kiasi ewe mtanzania
Mpila niusingizi hauishi utamu amka katafute ewe mtanzania
Mpila ni mwanamke mzuli huwezi mmiliki Kama huna kitu ewe mtanzania
Tumia mpila Kama buludani baada ya kazi sio Kama sehemu ya maisha yako kiasi kwamba usipo zingatia..
Utakufa,utadharaulika,utachekwa,utaaibika
Amka mtanzania wanao kuta Wala na kuku dhulumu na kukuibia wanatumia mpila Kama njia ya kuku fanya usahau maovu wanayo kufanyia
Mwisho nikuulize
Je! Usha wai jiuliza kwanini Mama yako huwa zawadia wale wachezaji wa mpila?
Kama hujui anzia hapo uta vumbua mengi
Mungu walehemu vijana wa kitanzania
Yaani sijui tukoje.Umenena madini matupu
Sisi Watanganyika tumerogwa hadi Sasa tunatawaliwa na Wazanzibar
Jamaa linaongea utumbo mpaka lime pitiliza mkuu nimeshindwa kulielewa kabisaaLinalopoka Tu pole sana usikasirike kiivo jua kuwa haya ndio mpuuzi hayana hata faida duniani hapa. daaa au nimepiliza?
Ina maana hapo nimeandika kwa ulefu Sana mkuu?Mkuu jitahidi kusummarize mada
Wewe ambaye uko macho, tusaidie kuondoa hayo mapungufu. Wacha sisi tuendelee kulalaKuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya