ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Mkuu, hilo ndio tatizo la vijana wa BAVICHA. Unakimbilia kutukana tu kabla hata hujasoma kinachojadiliwa.Hebu acha ujinga wewe!!! Sheria za udikteta, udhalimu, ufisadi na wizi wa kura zilitungwa lini na Bunge la Tanzania!? π³π³
Dhahiri !Mkuu CCM inaondoka mwaka huu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
Mkuu wao wameomba uchaguzi uwe wa huru na haki au unaogopa?Amnesty International wajinga tu, wao tayari wapo biased, hatuwahitaji Tz waendelee tu kutoa matamko yao kutokea Nairobi na baada ya uchaguzi Lissu atawafuata pia huko huko.
"Hatukubali" wewe na nan ?Nyoooooo subiri uone the dictator should fall . Hatukubali tena kurudi kwenye umateka mbaya zaidi hatusamei mpaka Ben Saanane arudishwe na Azory gwanda. Shida ya CCM inajiua yenyewe kea kumtegeme Magufuli hivi Nani kwasasa anamtaka magufuli Tanzania hii.
Nani kakupa kibali cha kusema Watanzania ni wapumbavu kama wewe? Watanzania kwa sasa wanajielewa, ccm lazima itoke madarakani mwaka huu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Na huo ndio utaratibu maridhawa wa demokrasia. Sasa yawezekana ninyi CCM, mtu mmoja ana kura 20,000 kinyume kabisa na demokrasia!!!Tatizo ww ni mmoja na kura yako ni moja
Na huo ndio utaratibu maridhawa wa demokrasia. Sasa yawezekana ninyi CCM, mtu mmoja ana kura 20,000 kinyume kabisa na demokrasia!!!
Kwa kulazimisha kwa njia tofauti tofauti. Muulize Sumaye na Lowasa, mfano.Ukweli ni CCM kwa Tanzania ndio chama ambacho kipo karibu zaidi na wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata 'Ghadafi wa Kuwait' na 'Sadam wa Libya' walisema hivyo hivyo.Armesty international ni mabeberu tuu hawawez kututisha sis
Na mimi ni wa pili na kura yangu ni ya pili.Tatizo ww ni mmoja na kura yako ni moja
Ni rasmi kwamba uongozi wa nchii una matatizo makubwa sana na inahitajika msaada wa kimataifa kudili na serikali korofi kama hii. Imekuwa serikali ya kidikteta kama wakati wa Mobutu na Idd Amini sasa tuweke nguvu tuondokane na hawa watu hata kwa msaada wa UN na USA na nchi nyingine, kweli tupo pabaya sana!Amnesty International wajinga tu, wao tayari wapo biased, hatuwahitaji Tz waendelee tu kutoa matamko yao kutokea Nairobi na baada ya uchaguzi Lissu atawafuata pia huko huko.
Mnaamini eti upinzani ukishinda ndo demokrasia, kafieni mbele!Ni Mbinyo mbinyo, mwaka huu 2020 CCM haichomoki kupitia rafu zake.
waTanzania wasema sasa basi! Jumuiya za kimataifa wapo upande wa waTanzania watakaochagua mabadiliko.
Unahisi ni geni kwa Tanzania? Posho zao zinatoka waki releases upuuzi kama huu.Kimenuka.....mataga njooni huku mkamsaidie mwenzenu
Hehee nchi huru....nyenyenyeeeUnahisi ni geni kwa Tanzania? Posho zao zinatoka waki releases upuuzi kama huu.
Waache wapige mayowe.
Mind you ,Tanzania nchi huru.