Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

Hebu acha ujinga wewe!!! Sheria za udikteta, udhalimu, ufisadi na wizi wa kura zilitungwa lini na Bunge la Tanzania!? 😳😳
Mkuu, hilo ndio tatizo la vijana wa BAVICHA. Unakimbilia kutukana tu kabla hata hujasoma kinachojadiliwa.

Amnesty International wanataka Rais wa Tanzania afute sheria zilizotungwa na Bunge halali la kidemokrasia la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, unakubaliana na shinikizo hilo la Shirika hilo binafsi?
 
Amnesty International wajinga tu, wao tayari wapo biased, hatuwahitaji Tz waendelee tu kutoa matamko yao kutokea Nairobi na baada ya uchaguzi Lissu atawafuata pia huko huko.
Mkuu wao wameomba uchaguzi uwe wa huru na haki au unaogopa?

Unachoogopa nikipi?
 
Nyoooooo subiri uone the dictator should fall . Hatukubali tena kurudi kwenye umateka mbaya zaidi hatusamei mpaka Ben Saanane arudishwe na Azory gwanda. Shida ya CCM inajiua yenyewe kea kumtegeme Magufuli hivi Nani kwasasa anamtaka magufuli Tanzania hii.
"Hatukubali" wewe na nan ?
 
Hakuna neno wapumbavu kwenye comment yangu lkn jwa kuwa wewe ni mpumbavu na familia yako yote umeongeza hilo neno sababu wewe ni mkuu wa wapumbavu
Nani kakupa kibali cha kusema Watanzania ni wapumbavu kama wewe? Watanzania kwa sasa wanajielewa, ccm lazima itoke madarakani mwaka huu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Amnesty International wajinga tu, wao tayari wapo biased, hatuwahitaji Tz waendelee tu kutoa matamko yao kutokea Nairobi na baada ya uchaguzi Lissu atawafuata pia huko huko.
Ni rasmi kwamba uongozi wa nchii una matatizo makubwa sana na inahitajika msaada wa kimataifa kudili na serikali korofi kama hii. Imekuwa serikali ya kidikteta kama wakati wa Mobutu na Idd Amini sasa tuweke nguvu tuondokane na hawa watu hata kwa msaada wa UN na USA na nchi nyingine, kweli tupo pabaya sana!
 
Wasitupangie nan wa kuwa rais


MAGUFULI piga kaz watanzania tupo
 
Wakafie mbele! Rais alishasema uchaguzi utakuwa huru na haki, kila mara Kabudi anasisitiza hilo hilo! Tatizo washaona papeti wao hashindwi kila siku zengwe! Wananchi tunachagua maendeleo hatutaki ukoloni mamboleo! Hao Amnesty walishindwa nini kumzuia Gaddafi asipigwe na marekani, kila siku unyanyasaji wa watu weusi huko ulaya hauishi, washughulikie kwanza hayo, watuache na nchi yetu tumbafuuuu
 
Ni Mbinyo mbinyo, mwaka huu 2020 CCM haichomoki kupitia rafu zake.

waTanzania wasema sasa basi! Jumuiya za kimataifa wapo upande wa waTanzania watakaochagua mabadiliko.
Mnaamini eti upinzani ukishinda ndo demokrasia, kafieni mbele!
 
Back
Top Bottom