ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Mkuu, hilo ndio tatizo la vijana wa BAVICHA. Unakimbilia kutukana tu kabla hata hujasoma kinachojadiliwa.Hebu acha ujinga wewe!!! Sheria za udikteta, udhalimu, ufisadi na wizi wa kura zilitungwa lini na Bunge la Tanzania!? 😳😳
Amnesty International wanataka Rais wa Tanzania afute sheria zilizotungwa na Bunge halali la kidemokrasia la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, unakubaliana na shinikizo hilo la Shirika hilo binafsi?